@madam_leila: Je umechoka kujielezea kila siku kwa watu wasio ijua thamani yako? Je umechoka na unaona Aibu kusema umechoka? Je unaishi katika mazingira ambayo ukipumzika unaambiwa wewe ni mvivu? Je umechoshwa na agenda zinazosema kwakua wewe ni mwanamke hutakiwi kusema au kulalamika kwakua ni utovu wa adabu? Yote haya ni maelekezo ambayo sio sahihi na yana lengo la kudidimiza kihisia..Je maelekezo sahihi ni yapi? Je utajitoaje katika wimbi hili la taarifa zisizo sahihi? Karibu katika Premium Master class Darsa ya ubebovu kwa wanawake 15 tu. Darsa hii ni ya Online itafanyika tarehe 5/10/2026. Nitaungana na mwenzangu @estherprojectdxb kukuletea Suluhu ya taarifa hizi potofu. Darsa itakua kwa Lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Wahi kufanya malipo kumbuka nafasi ni kwa wanawake 15 pekee.

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 08:47:34 GMT
31986
2293
67
93

Music

Download

Comments

user7963717567155
user7963717567155 :
[Tears of joy][Tears of joy]ndo vitu vyetu ivo
2026-09-22 17:13:06
0
neylove093
Neylove🥰 :
Madam Leila Unakoelekea TUTAKUPIGA Akhi[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 15:07:41
1
esher_brahim
Esher'sfoodchannel :
so y r u expose our business
2026-09-22 10:04:39
2
fatirati10
Mama muu collection :
Hii n kweli yaan mm mume wangu anajua cjui kumbe naijua akiona hii comment
2026-09-22 10:18:29
12
uchungu43
uchungu43 :
mmmmmm
2026-09-22 17:11:09
0
nasismaily
Nasra a tailor🧶🪡 :
Me nilivyoijua nikamwambia abadilishe😅😅😅🙌
2026-09-22 12:31:06
4
user60818618780295
winnie :
mm mbona siijuw na staki kuijua
2026-09-22 15:20:37
2
mamuh.khamis
mamukhamis :
Umetoboa siri[Tears of joy]
2026-09-22 11:53:15
3
butterflyirn68gmail.com
MAMA JIMMY :
Eeh mungu nisaidie niache kuchungulia sim ya mume wang, niache ku0tea password niache kuchunguza kama imeliwa🥺🥺🙏
2026-09-22 10:30:33
5
sule.omar8
Sule Omar :
dda unajuwa 😳
2026-09-22 09:37:19
2
zaharamohamed102
Qs zahara 🦋 :
Me nikilala naoteshwa password au anacheat naota sahv kunamgeni ndan kwangu …Allah anitolee hii hali inanitesa
2026-09-22 15:50:20
2
onlygodknowdetruthy
Agartha Mae :
mm nimeish miaka 5 anajua sijui pasiwed I yake lkn Cha ajab juz nimeweka kila kitu waz Hana ham😂😂😂😂
2026-09-22 13:50:15
2
salomeagathon83
Salome Agathon :
madam we unaongea ukwel always Nakupenda sana hata mm huwa naijuaga tuu hata akibadili mara kumi kwa mwez🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 10:54:27
6
user9977797468768faraja
mama miracle og :
asantee
2026-09-22 15:26:32
1
daffahmakeup
daffahmakeup :
na uwaambie kabisa hata wakitudanganya tunajua 🤣🤣🤣
2026-09-22 13:05:38
3
samiramoshi0
Samiramoshi :
yaaan sijui hata huwa tunajuaje bwan😂😂😂😂
2026-09-22 15:17:24
1
user7717134541974
user7717134541974 :
sana kipenz changu
2026-09-22 13:38:30
1
atibumao
Atibu Mao :
merci
2026-09-22 15:10:09
1
user7437400883578
Bexie💦 :
devandy kuja huku😂😂😂
2026-09-22 15:22:21
1
jojolitto58
jojolitto58 :
😅😂😂😂Jmn
2026-09-22 10:29:57
2
lizraphael1
lizraphael1 :
alafu Kuna mie naiona alafu nasahau
2026-09-22 14:00:05
1
hadijartistry1
hadijartistry :
😂😂😂😂madame bana unatoa siri...
2026-09-22 15:41:36
1
user9768584490745
dada p :
😅😂😂😂😂😂😂mimi kabisaaaaaaaaqaq
2026-09-22 13:52:16
1
antieswabie
👄Antie Swabie💋 :
sema unatoa siri zetu sana😂
2026-09-22 13:47:21
1
daniel.festo6
𝙼𝚕𝚒𝚕𝚘𝚝𝚣✅ 🕋☠️ :
😂😂😂 ndomana najiulizaga anatoa wap
2026-09-22 08:50:26
2
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About