@taimediatz: #VIDEO Mtumishi wa Mungu , @catherineoctavian_ck, amesema msimamo wa msanii @mambadudubaya24 wa kupinga mapenzi ya jinsia moja ndio msimamo wa Watanzania huku akitoa wito msanii huyo aongezewe ulinzi kutokana na harakati anazozifanya. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatv #taimediatz
taimediatz
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 08:53:39 GMT
Music
Download
Comments
hidayajuma37 :
ndiyo hakuna uwongo dudu baya nimkweli anaongea ukweli kama wanabisha hospitali zipo
2026-09-22 10:10:04
266
Irene Bernard :
Linda Migongo yenu, kaulimbiu ya watz wote🥰🥰
2026-09-22 09:45:39
242
Captain Mwambo :
🤣Tusimame na Dudu
2026-09-22 10:09:51
100
Baba Tiffah :
kiukweli omary Malinda pale hanna
2026-09-22 10:40:12
159
Moses mwambene :
Tena asilimia 90 ni waislamu
2026-09-22 13:40:22
45
T£AMℓAB!L£6____⚽🎶❤️ :
dudu what😁😁
2026-09-22 12:56:29
0
user5619498061213 :
wadad mpo vizuri tumuunge mkono dudu
2026-09-22 11:45:15
65
djxmumbabella :
konkiiii master mambaaaaa 🤛
2026-09-22 10:20:50
58
Mwaja :
Nitumien jina la huyu dada nimfollow jaman
2026-09-22 11:40:49
50
Ngekewa Mzeebaba💦 :
U better watch your back [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 16:32:04
1
fagfag :
swadata dada timu dude zuri😁😁
2026-09-22 11:21:54
28
Code#%^ :
Tupo pamoja sanaa na dudubaya
2026-09-22 11:23:52
21
JooBen (Kaka Pastor) :
% kubwa masela wa Mtaani kwetu tuko pamoja na Dudubaya🫡
2026-09-22 11:15:57
23
Elia Mbedegalo :
si huyu hapa mwamba 🔥🔥🔥💯✌️
2026-09-22 16:27:51
28
deo msingapore :
mllikua mnamuona Chizi... mamba. 🙏 dada
2026-09-22 10:16:43
41
kidula :
dada angu nakupenda[Laugh approved]
2026-09-22 11:23:24
3
waziridamian :
safi sana dada yangu🤣🤣🤣🤣😂😂 hata mimi ni timu dudu baya
2026-09-22 10:54:15
52
EL AbdouL :
Fact [Heartwarming]
2026-09-22 11:39:01
2
ganzinogroup :
tumuunge mkono dudubaya
2026-09-22 10:06:48
32
mila are ndo tz :
Amina mtumishi
2026-09-22 11:09:38
17
Saka Bukayo :
dud baya ana baya mungu akupe maisha marefu
2026-09-22 11:27:28
18
Anna :
kila mtu halinde mgongo wake
2026-09-22 11:29:04
14
rest :
nipo pamoja nanyinyi mungu awaongoze
2026-09-22 10:12:29
13
noely noely :
nakupenda kimapenzi madam
2026-09-22 10:59:54
25
harmonyotanyotaya :
dada umesemaje 😂😂🤣🤣🤣🙌🙌🙌.
2026-09-22 11:23:19
5
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.