@millardayo_: Kijana anayefahamika kwa jina la Goodlove, Mkazi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, amedai kupigwa na chupa kichwani na Mhudumu wa sehemu ya kuuzia vinywaji kufuatia mvutano wa deni la Shilingi 5,000 Goodlove amedai kuwa tukio hilo lilitokea baada ya kumuomba mhudumu huyo simu yake aliyokuwa ameiacha ichaji, lakini alikataa kumpa akitaka kwanza alipwe deni hilo. Majibizano yalizuka na ndipo anapodai alipigwa na chupa, kabla ya kwenda hospitali kwa matibabu ambapo amesema siku iliyofuata pande hizo zilikutana na kusuluhisha tofauti zao, lakini baadaye alivamiwa na vijana watatu na kushambuliwa tena. Goodlove amesema alitoa taarifa polisi kuhusu tukio hilo na pia kulifikisha kwa viongozi wa eneo hilo na bado anasubiri kuona hatua zitakazochukuliwa dhidi ya wanaodaiwa kuhusika, huku suala hilo pia likiwa limefikishwa kwa viongozi wa eneo hilo kwa ajili ya ufuatiliaji. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 08:58:10 GMT
44647
1595
80
52

Music

Download

Comments

official.dee475
behappy products :
pole home boy
2026-09-22 12:01:01
2
adelinabae1
Adelina bae💝 :
Eee jamn polee home boy
2026-09-22 17:52:28
0
watukule.watukule
watukule watukule :
Millard ayo ndio kitu chakuripoti kweli
2026-09-22 10:42:01
10
_efxfradeex
_fřäďēé_Ęfx﷽☪ :
pole ase godii
2026-09-22 11:26:10
5
mrsmmm07
GEE💝💙💸 :
Muende uko katiti leo wameniumiza wamemuuwa mzee wa kanisa kisa pikipik nimeumia sana🥺
2026-09-22 11:48:13
6
necky.mojito
Necky Mojito :
poleee kakaaaa
2026-09-22 11:03:02
1
vailetpetro
vailetpetro :
pole ndo dada zenu ao
2026-09-22 12:14:29
1
viola.mungure
VIOLA :
dada aliogopa kuachiwa short jaman akajihami mapema,polen
2026-09-22 11:17:43
1
glorysandy1
Ms _ Sandy ♋️ 💧 🌕 :
Kwa hy anatakaje
2026-09-22 11:42:28
2
nasra0835
nasra :
pole sana
2026-09-22 11:59:04
1
ibranade
CHALI_MOTO 💫🇹🇿 :
chali angu as mangi
2026-09-22 19:11:20
0
jackie15733
jackie🥰 :
Pole jmn
2026-09-22 20:32:53
0
mamakelai
husna mkama :
ila Arusha panaongoza kuwa namatukio ya ajabu kwann lakn
2026-09-22 15:04:31
1
hopeakyo
hope akyoo ♥️💞💜 :
vipi ten.kaka
2026-09-22 18:49:03
0
julianalaizer981
Tina thobby :
Polee lakn katiti imeshaukuwa hatari jamn jana wameniulia rafiki angu kisa pikipik jamn
2026-09-22 18:44:27
0
banzi055
Sagittarius ♐️ :
Dah 💔
2026-09-22 09:33:12
1
225.janeth
225 Janeth :
Kaka mwenyewe handsome kwel pole kaka ila naomba kuwa makini sana wasije wakakuua mfungulie Rb huyo dada
2026-09-22 18:21:25
0
mrsmmm07
GEE💝💙💸 :
Arusha ni nyumbani ila watu wamekua wanyamaaaaaaa🥺
2026-09-22 11:49:41
4
godwinsenyi
senyi :
ww mzee vp humu tena
2026-09-22 15:49:22
0
angel.beaut2
Iem Angel😍😇 :
Jamn jiran shida nin tenaaaa😳
2026-09-22 15:48:06
0
user6884612912230
seline :
ARUSHA,ARUSHA
2026-09-22 21:00:53
0
nnkodota95
Rose🌹 :
Huyu nae awe makini wasije wakamdhuru zaid jmn🥺
2026-09-22 17:24:27
0
totorim33
totorim :
katiti ni nyumban lakn watu wanazid kuw wabaya pole san kak angu
2026-09-22 21:24:42
0
user9935005362045
user9935005362045 :
pole kaka nenda police hiyo ni wez hao
2026-09-22 17:45:04
0
emmyquet2
emmyquet :
Pole dah
2026-09-22 10:36:16
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About