@islamic_rihla: Mume, unapomkosea mke wako, usione kuomba msamaha ni udhaifu. Kukubali kosa na kuomba msamaha kuna kujenga heshima, kuimarisha mawasiliano na kuongeza mapenzi katika ndoa. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH ABDULRAHAM BAKARI MHINA 🔸 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yenye kujenga maisha na imani. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Ndoa #Mahusiano #Mawaidha 🟠 FOLLOW US