Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na Godoro, TV,Jiko la ges na kafriji kadogo. msinunue tafadhali huyo ni mwenye nyumba wangu anauza vitu vyangu.
Tuwe na umoja jaman 🙏
2026-09-23 18:57:11
1
M:triplle :
kaka nyimbo nzuri sana hongera
2026-09-23 13:13:22
1
Yohana tiger :
🤣🤣
2026-09-22 12:12:44
0
Angel martin :
noma sana ♥️♥️♥️♥️
2026-09-22 17:36:17
0
flower :
waooo
2026-09-23 14:12:46
0
chitundu :
iko sawa
2026-09-23 12:36:27
0
user63588602546554 :
mm pia stakii japokuwa sijaolewa
2026-09-23 13:27:32
0
mrs. khamis :
10/10
2026-09-23 17:29:41
0
YOBU 🫵 :
challenge imenyooka mno
2026-09-22 17:49:22
0
cutie 😍 🦋 :
kataaa mwanya mke wa pili uyo hamn lingine kakuchoka kweli😭😭😭
2026-09-22 19:09:59
0
To see more videos from user @mrsbrown_love_tz, please go to the Tikwm
homepage.