@Twareeqbey💤::Mi kwa mazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-09-23 13:50:04
2
Rapurga_Jr :
MTANZANIA HALISI BIG UP BRO..
ONE DAY YES..TANZANIA WIN
2026-09-22 13:42:13
1
Atomic chaula :
nalo ni tatizo amjui tu
2026-09-23 07:52:56
2
Elias Maika :
Wahenga walisema tafuta Hela ukipata wanawake watakuja wenyewe swali langu waaje wafanye nin mbona wakati sina hawajaja?
2026-09-22 10:51:49
2
@GOAT_Tz :
hii umeuwa fmly
2026-09-22 10:48:27
1
Fabian shoes Makumbusho :
umetish mwanang
2026-09-22 11:43:43
2
@-BRIGHT💧 :
Dodoma mabegani
2026-09-23 08:17:51
1
khaan love :
hawa ukicheka nao haki ya god
2026-09-23 11:16:02
1
Armando-Da-Smoker... :
[Perfect score]MALEGEND, Tujuane kwa mikono👋vp apo
2026-09-22 18:32:15
2
Mpemba line :
🥰
2026-09-22 11:00:45
1
official Young boyz003 :
2026-09-22 10:19:34
1
KIBWA_TZ :
💯💯💯money
2026-09-22 10:18:42
1
•=¥ouNg•Callad¥= :
💪💪Ududu mwingi
2026-09-22 12:33:48
1
mjombaiddy6 :
Ach Bhn🤣🤗😀😀
2026-09-22 11:13:49
1
Amalon plata :
ila mwanangu wafaida song inaitwaje
2026-09-22 12:13:56
1
chidy33 :
atutaki mapenz kaka mda huo atuna🤣🤣🤣🤣
2026-09-23 09:13:06
1
To see more videos from user @black_gold16, please go to the Tikwm
homepage.