content za hivi zimetosha sasa tumesha elewa jmn mnatak tulie au 🤣🤣🤭
2026-09-23 05:40:43
7
MWAJUMA1993 :
ukweli namkubali
2026-09-23 02:25:02
4
aggie❤️ :
Sad truth
2026-09-23 04:43:59
2
mariah💝 :
sasa na cc ambao tunazeek htujawah kuhudumiwa ni nin iki Mungu wangu😢
2026-09-23 11:30:42
0
mama samarah❤✨️ :
uzuri oscar anasema ukweli😁🙌
2026-09-22 20:38:19
11
kutham❤️ :
asante
2026-09-23 06:37:18
0
jojokidoti-1920 :
True mwanume anahudumia anapopenda
2026-09-23 02:28:26
5
Flowerbeautiful444 :
oscar umefanya niondoke km narudii kumbe ndo naondoka kisaa hii post
2026-09-22 17:40:52
4
Last born wa mr Tee💞 :
wangu han kaz sahv anaish tu kwao ila nikimuomba hela atahangaika weeee mpak aipate na anitmie had namuonea huruma Mungu fany wepesi boy wang apate kazi
2026-09-22 21:32:43
7
jasmus :
km hana hela je mm napendwa
2026-09-22 17:20:33
3
❤️ :
ni kweli kabisa
2026-09-23 03:38:54
2
Omega Burton :
kweli kabisaaa
2026-09-22 22:05:55
3
Ashley@🫂🥰 :
Oscar muda mwingne anaongea point sana 😂😂 direct status
2026-09-22 18:23:39
6
Hellen mtitu :
Kumekucha
2026-09-22 22:44:22
2
mwanah :
so kweli unaweza ukapewa nausipendwe
2026-09-22 16:42:16
1
dayana :
2026-09-22 14:50:24
3
ma light :
2026-09-22 18:27:46
1
LANIE💫🤎 :
Hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke anaempenda 📌🔨
😂😂😂
2026-09-23 04:54:28
1
meena19 :
wanaume waje hapa watuambie ukweli...kuhusu hili
2026-09-22 21:24:34
1
rithaa💖💖 cute 🤍🤍 :
ata kama ni mume wamtu akiwa anakupa hela anakuwa anakupenda uongo tu 😅😅
2026-09-22 20:28:54
1
lisayer :
ukweli mchungu😂😂
2026-09-22 16:09:08
1
Ester :
basi sipendwi
2026-09-23 10:26:33
0
To see more videos from user @nassorofacts, please go to the Tikwm
homepage.