imagine unalala nae unaamka nae na bado wall paper yake kamuweka alozaa nae😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-13 15:14:09
91
POOKIE🫠🫦✨ :
Nilichok kuvumilia dharau 🥹😭
2026-10-14 19:04:36
51
thydox🐶 :
kwasabab mapenz ya kweli ni kumuacha mtu umpendae aende kwa ampendae zaid
2026-10-28 21:16:06
54
Baby girl💞💦 :
NIMEGUNDUWA WANAWAKE WENG TUNATESEKA NA MAPENZI🥺🥺
2026-10-16 19:26:03
37
furaha🌹🦂 :
🥹🥹🥹😭na lala siku mbili kama nikizidisha naomba mniamshe mana na miezi mitatu sijalala nalia2🥹🥹
2026-09-22 19:15:56
42
baby_ivy61 :
Nataman niongee ila machozi ndo yanazidi kunitumia tu😭😭😭
2026-09-23 10:33:06
24
I🌸d🌸d🌸a🌸h :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa
2026-10-13 21:28:12
8
Catty :
Aliniambia now ameokok anampend Mungu so anafanya vituh vinavy mpendeza Mungu
2026-10-14 16:28:16
9
khan_Tawakal🦅 :
Kuna vitu havielezeki 🥺
2026-09-22 23:17:24
15
🫶vivo brandi.@com🎶 :
shida nyakat ubadilik mda ambao ww una wapenda sana ndo mda wana tumia kuku umiza mtu una kuta ue una mapenz ya kwel laji yey kwako ana kuwa ni kama dalaj la kufanikisha mamb yeke
2026-10-09 20:33:25
8
jmxolidi :
Wakati mwingine unaondoka si kwa sababu umeacha kumpenda, bali kwa sababu umefika mahali ambapo kubaki kunakuumiza zaidi kuliko kuondoka. Unampenda kwa moyo wako wote, lakini unatambua kwamba mapenzi pekee hayatoshi kama hayana amani, heshima na furaha. Ndiyo maana unaondoka ukiwa na machozi moyoni, ukijua kwamba bado unampenda… ila umechagua kuokoa moyo wako. 💔
2026-09-23 13:16:01
10
jojo oud :
kwa sababu hakujua umuhim kwangu alizarau sikujua nafasi yangu kwake nilikua naishi kama mgeni kwenye mji wangu mwenyew
2026-09-28 18:47:47
5
Oppah tronics :
Bora kupendwa na sio kupenda
2026-10-14 16:46:53
7
purple_real og💜 :
Mtume Muhammad S.W.A aliwai kusema kitu kinacho kupa maumivu n kukosa Amani ya moyo kiache kiende [Teary eyed]
2026-10-08 06:59:03
8
waridi petro🦋 :
😭😭😭 nina meng ya kusem but naomb nisem hili kumpend mtu sio Lazim uwe nae hata kumuacha awe na mtu anayempend niamin mm nikumpenda pia😭😭😭wakt mwingn tunakubali maumivu ili tunaowapend wawe na frah
2026-10-10 19:16:25
8
chichi🦅❤️🔥 :
kila day namsamehe mm tuuh wallah ... noma sanaa🤌
2026-09-22 22:56:55
8
Ace :
Niliondoka si. Kwasababu simpendi Ila yeye akunipenda Mimi😭😭😭😭
2026-09-22 20:47:07
7
gull🥰 :
kuna muda zawadi nzuri ya kumpa yule umpendae ni kumuacha aende....haijalishi
2026-09-30 00:56:15
7
briyana de spaghe :
assume mtu anasema mbele yako kwamba amemtamani rfk ako 🥺🥺🥺
2026-10-14 19:37:20
16
nasyofficial💜 :
Nilikuwa nipo single bila stress wala mawazo yoyote akaja kwenye maisha yangu na kunifanya nimpende 🥺 kosa kubwa sana kwangu najutia sana mana nilivyoanza kumuonyesha namuhitaji pia ndio akaanza kunipuuza na kuniweka mbali kila ninapojarib kuwa nae karib ananipush mbali sana ukimwambia kwann huwasilian na Mimi hata kwa Dk 10 tu anasema Mimi na wewe Nan Ana mtafuta mwenzie Mala nying shida Sio kunitafta shida unaongea nn na Mimi 🥺 huwa akinitafta anauliza umekula unnaendeleaj BAs hapo mpka mchana ni maswali hayo hayo ni miez 6 hakuna mabadiliko 🥺 inauma sana pale ambapo unahitaji ukarib wake lkin haonyeshi kujar ndio unagundua we ni option tu uwepo usiwepo kwake so shida zake Mwanzon aliisema anataka kunioa lkin Hilo neno Sio Mala ya kwanza kulisikia kwangu Ila nilikubali Sio kwa sabab ya ndoa nilikubali kuingia kwenye mahusiano ili niweze kupata wa kutulia nae lkin imeshindikana na inaumiza zaid kumuacha aende lkin ni vizur kuliko kukaa kwenyekifungo ambacho hujui Lin utatoka 🥰
2026-10-30 15:11:25
5
B!G SHARK 🦈🦈 :
.Kila akiniomba pesa mi sina kila akiniletea shida haipo ndani ya uwezo wangu nkaona nisizidi kumzibia RizQii zake bna.BUT PESA INA NAFASI KUUUBWA MNO KWENYE MAHUSIANO.
2026-10-11 19:51:28
8
officialniccah1 :
Alinmbia atatupenda wote wawil nikaona kbsa huu no uongo