@millardayo_: Wakili wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Nziku amesema mkataba wa jezi za Timu za Taifa uliosainiwa kati ya Kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wizara yenye dhamana ya michezo haikuwa sehemu ya mkataba huo. Nziku amesema kwa mujibu wa taratibu za FIFA, TFF ina mamlaka ya kuendesha shughuli zake kwa kujitegemea bila kuingiliwa katika masuala ambayo yako chini ya mamlaka yake, hivyo si sahihi kumhusisha Mtu ambaye hakuwa sehemu ya mkataba katika masharti yaliyokubaliwa na pande zilizosaini. Hata hivyo, ameeleza kuwa hilo halimaanishi Wizara haina nafasi katika usimamizi wa michezo nchini, akisema ina mamlaka ya kutoa maelekezo kwa mujibu wa Sheria na sera zinazohusika, lakini mamlaka hayo yanapaswa kutekelezwa ndani ya mipaka iliyowekwa kisheria. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 10:42:03 GMT
Music
Download
Comments
ɪᴛꜱ ᴍᴇ ʀᴀᴍꜱᴏ :
Dah wakili amezingatia engo 😂😂😂🙌
2026-09-22 11:50:03
55
PIKIPIKI MARKET :
MWANASHERIA ANGEL HOYEEEEEEE
2026-09-22 11:14:32
17
Donsoh_tz :
expresio unios exteriao dous😀
2026-09-22 11:18:59
8
Walalka Kenyanadian Somali🇨🇦 :
nafasi za kazi Cana🇨🇦
2026-09-22 14:00:37
0
SalesMan_Mega£ :
Confidentiality of contractual agreements “do not disclose/publish any part of the contrual agreement to the third or other unrelated parties”
2026-09-22 12:44:20
5
Vicent Phidelis :
Shida ilianzia kwenye katiba kwamba sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kingereza au kiswahili...Tunaletewa viongozi maarufu na co wenye elimu nzuri ya kueleweka...waziri hajui mipaka yake ya kisheria anaamini yeye anaweza Fanya Kila kitu...Mkipewa uwaziri msome Jurisdiction ya office Yako..msome Sheria zinasemaje co kuwaza kusafiri tu na kupiga picha
2026-09-22 12:28:08
17
King Henry :
How will this age
2026-09-22 14:15:36
0
kaLinga.mobiLe.barber17✂️ :
Engo To The World 🌍
2026-09-22 14:02:49
0
mansoap official :
in point of law you cannot give what is not yours ##disclaimer liability 🙌🎂
2026-09-22 12:40:24
2
Papah Mnako :
kummk huyu jomba apewe uwakil wa serikali asee 🔥🔥🫡🫡🫡
2026-09-22 13:39:55
4
Jude05 :
VERY SMART 🤝
2026-09-22 14:51:39
0
ENKOPONI AI SIDAI 📸 :
lazima tuzungumze kisheria no way 🔥
2026-09-22 11:14:16
7
Lingardnr :
😂😂😂Hii ishu ya kupata madaraka na kujikuta Mungu watu ipo siku itatuponza aiseee
2026-09-22 10:54:23
21
🐾ochu_phoebe👣 :
Tubadilishie jezi ww
2026-09-22 12:34:29
2
PEL CO. LTD :
Lecturer wangu MZUMBE UNIVERSITY 2025
2026-09-22 13:07:49
6
MR AWARENESS🧠🧠 :
tho kama ndo hivyo wasinge ita press wangemshtaki juu kwa juu maana kuita press ni kumuweka juuu
2026-09-22 13:00:03
4
Mgiliama 💪 :
Mwalimu Wangu wa Sheria Hujawahi Niangusha @clatus Nziku Tunajivunia Ww💪
2026-09-22 13:41:25
4
@BLEs$ :
mamb ya mihemko yanaponza hata kwa wakubwa wa nchi
2026-09-22 11:26:37
5
Fabbian Mahega Mellyson Jr :
Kaka yake Triple C
2026-09-22 14:06:27
1
ZAINAB ABDULLAH :
duuh upo sahihi mwanasheria
2026-09-22 13:11:39
1
fadhili2nyi :
mpelekeni mahakamani mkaombe fidia ya 50billion
2026-09-22 12:32:51
1
kassimu :
kama jezi jau musiambiwe au
2026-09-22 15:32:02
1
user4099358686276 :
h
2026-09-22 16:14:51
0
Meshack_Pius :
Jamaa anafanana na Mau Fundi.
2026-09-22 16:53:52
0
nascoba :
watu wanaleta siasa kwenye mpira wetu ndiomaana wanaamua kuwapa watu uraia vile wanavyojisikia wao🤔
2026-09-22 16:19:36
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.