@fredrickmulla: Comments ziwe fupi fupi #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #fyp #rap

Master Manondo
Master Manondo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 10:42:33 GMT
28734
1681
638
5

Music

Download

Comments

user9827436546000
kigulu :
khan mushedede pongezi kwake
2026-09-22 21:09:48
2
user9983537022066
Regan :
mbosso Fundi bana
2026-09-22 14:20:45
36
pellahjafari
pellahpapy :
daaah kwenye comment fupi fupi utanisamehee me naomba niandike kwa urefu mkuu Wallah 😂,, Mbosso ni mmoja ya waandishi wenye uwezo mkubwa sana kwenye Bongo Flava. Uandishi wake una upekee wake ana uwezo wa kuchukua jambo la kawaida la kimapenzi na kuligeuza kuwa simulizi yenye hisia, picha na maana kubwa. Anatumia Kiswahili kwa ubunifu, akichanganya lugha ya kawaida na lugha ya kishairi, misemo, tashbihi na mafumbo kwa namna inayomfanya msikilizaji ajione ndani ya story. Kitu kinachomtofautisha ni uwezo wake wa kuandika kuhusu mapenzi kwa undani; furaha, maumivu, majuto, kutamani, kusubiri na kuvunjika moyo. Mara nyingi hauhitaji hata kusikiliza wimbo mara nyingi ili kuelewa kwamba kuna story nyuma yake. Anaandika kwa namna ambayo maneno yanaonekana kama yanaishi. Kwa kifupi, Mbosso ni mwandishi wa storytelling, mapenzi na hisia, mwenye uwezo mkubwa wa kutumia Kiswahili kwa ubunifu. Uandishi wake una ladha ya kishairi, lakini bado una lugha ambayo mtu wa kawaida anaweza kuielewa na kuuhisi. Hapo ndipo ninapoona uzuri mkubwa wa uandishi wake Kuna ile live performance moja na Yamaha wallah ile story alio kuwa anasimulia ni sawa sawa na mimi tu ninayo yapitia kipindi hichii mbosso atengwee 🙌🏼🙌🏼
2026-09-22 10:55:32
46
kngbrs.l.pro
Kîng-bürės Lė Pro :
1.Rayvanny 2.Mbosso 3.Marioo 4.J.melody
2026-09-22 19:18:21
8
user9960630602825
little phonex :
rayvanny
2026-09-22 18:52:13
13
user7619307926111
B :
mbosso bhna ninomaa💪
2026-09-22 18:57:15
12
the_realife_of_hustler
The_realife_of Hustler🦅 :
Harmonize
2026-09-22 13:34:48
8
lutherkingezecky
lutherkingezecky :
namba 1 nitamueka mbosso 2 marioo 3 rayvany 4 jay melody
2026-09-22 13:43:16
22
nabeel5388
nabeel :
tusibishane tunao Sema mbosso tuje hapaaaaaa
2026-09-22 15:49:57
44
userhilay
Hilaly ndyanabo :
mbosso khan namba 1
2026-09-22 17:05:48
36
mwamed.hamdan
Gube 22 :
Mbosso khan💪
2026-09-22 16:52:10
14
emmanueljoseph260
Hello asamba sambe :
Kweny love song mbosso ila vibe song marioo
2026-09-22 14:43:07
3
user2221250444136
jay snoppy :
mbosso khan mshedede🙌🙌🙌
2026-09-22 16:52:37
10
shakira.a..banobi
Shakira A. Banobi :
Mbosso fund hatar
2026-09-22 16:16:31
11
user831035313253
malik john :
chui chita tiger rayvanny
2026-09-22 18:14:28
5
rugambasalumjoia
RUGAMBA JOIA :
mbosso for life
2026-09-22 16:34:40
2
calvinlesnar29
CALVIN LESNAR²⁹👊 :
marioo
2026-09-22 15:19:34
8
sariimsariim563
Sariim Sariim👉 :
mbosso genius 💯
2026-09-22 14:31:40
3
user1843445429957
Tony :
Mbosso khan 😂
2026-09-22 12:12:53
5
geichawilbert
Geicha Wilbert :
mbossoooooooooooooo yani hata usinge muweka ni mboso baba
2026-09-22 14:20:01
14
viztor2
Viztor :
Na Mbosso Khan Tenah
2026-09-22 16:08:57
10
mwigumila
𝖏𝖔𝖊𝖑 ✔️ :
mbosso khn toka yamoto kaka
2026-09-22 11:42:22
9
bullah_tz
Bullah🌴 :
hapo ni mbosso na diamond basi
2026-09-22 17:02:20
8
rogerbm_23
@rogerbm23🍁 :
marioo fundi wa mziki bongo akuna muandishi kama marioo bongo generous 🔥
2026-09-22 10:55:47
19
mr.rhino78
MR RHINO 🦏🦏🦏 :
vanny boy ni muandishi mzuri ila ayupo serious
2026-09-22 12:25:13
9
To see more videos from user @fredrickmulla, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About