@bongofive: Bongofive ikiwa na mahojiano na Mbega ambaye maarufu kwa jina la Bingwa wa magari amefunguka kuhusu sakata la mahusiano ya Kiredio na Mpenzi wake Vee, atoa ushauri Kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive Imeandaliwa na @abbrah255