@urmyh.noury:

islamic🔐💍🩷 garly 🎤
islamic🔐💍🩷 garly 🎤
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 11:20:26 GMT
72520
2413
207
582

Music

Download

Comments

more.rays
MORE RAY'S :
Ni nazo both sides
2026-09-23 18:33:22
0
mwana.mussa
Mwana Mussa :
number yako pls nikupigie
2026-09-23 06:21:37
0
fadiamuhija
Nana :
real life
2026-09-23 13:06:19
0
shamsaabubakar30
mama de mama :
la kumi na moja hatukai na pesa kabisa .ukishika pesa tu .ndio watu watakupigia au kukufuata wanamahitaji muhimu.utatoa mpaka twajisahau . SUBHANALLAH.kweli kabisa uliyonena
2026-09-23 06:16:41
25
khadijahamza256
khadija💞🦋 :
weeh nna x nyingi mikono yote😳
2026-09-23 12:08:53
10
frxll1
Fat hiya :
ikiwa ipo kwenye mkono wakulia??
2026-09-23 15:57:15
2
stori.time006
stori time :
Nina x kushoto na m kulia ila
2026-09-23 12:04:43
8
user8210426202588
mamylaa :
shekhe mbn mm ninazo nying izo x
2026-09-23 19:39:19
0
applebai
Apple Bai💕 :
Ndio maji gani hayo
2026-09-23 17:45:57
0
officialummy49
OfficialUmmy :
mm ninayo kushoto mbili kulia moja
2026-09-23 15:25:00
2
alikassim518
Ali kassim :
2026-09-23 17:33:55
2
shirazy_collection5
Shirazy_Collection💰🌸 :
sheikh leo umepita mule mule hayo ndo maisha yangu yooooooooote kikweli
2026-09-23 05:45:34
6
_l.iman_
_ 𝚰.𝚰𝚳𝚫𝚴_ :
Mbn niko nazo yingi 😂
2026-09-23 17:02:36
0
tumabaes
tumabaes :
kweli bwana
2026-09-23 15:17:58
1
phiri7012
phiri :
umenigusa shekhe alhamdulilah mimi ninazo alama Sita kushoto tatu kulia tatu ila nikiwaza nitapata wapi milioni tano haipiti wiki naipata na nilikuwa najishangaa sana leo umefanya nijitambue na
2026-09-23 13:36:25
3
user4612832688192
user4612832688192 :
Mawardi ni yale tunayoyajua yanayotengenezewa shada la hasmini au kuna maji yanaitwa ya mwardi nauliza naomba nijibiwe tafadhali
2026-09-23 12:07:35
0
mossi2044
mossi :
nakuunga mkono sheikh💯
2026-09-23 08:35:49
1
user67194861208756
user67194861208756 :
ni kweli kabisaa
2026-09-23 11:38:55
1
applebai
Apple Bai💕 :
Najiona kabisa na x zangu mikono yote,,, yote unayo yazingumza yapo kwangu
2026-09-23 17:44:08
1
rachma_rahiy
Being_Rachma🦋 :
Alhamdulillah
2026-09-23 12:40:52
1
hajrah9402
Naima eyes :
sheikh mkono wakoo uu🤝 umenena uyu sheikh namkubali sana anaongea ukweli mtupu
2026-09-23 14:13:26
2
user3776943792586
user3776943792586 :
kweli kaka kweli kaka sikuping mm dada ako ninayo x na usemayo yote sawaaaa
2026-09-22 19:22:04
1
user4114459098080
Fatmus :
Yani umenisema nilivyo nimeskia hizo ndoto na nikienda nyumba mbaya sio nzuri basi siwezi kukaa hapo napia kwenye biashara alhamdulila nikifika tu kwenye biashara ya mtu yoyo hapo basi atauza adi atasema umekuja na baraka Alhamdulilah shukran kwa kunijuza Allah barik
2026-09-23 17:48:17
1
gamernot038
masala02 :
Mbona picha inaonesha mkono wa kulia
2026-09-23 09:56:07
1
hashim.dunga
Hashim Dunga :
mi nina x mbili haswa aya nitabirie yangu
2026-09-23 16:25:51
0
To see more videos from user @urmyh.noury, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About