@_zuzaism: Thought Fragment | Uhuru wa kweli haupatikani kwa kupigana na kelele za nje, bali kwa kufunga milango ya mihemko. Mfalme wa kweli hareact kwenye dhoruba; anasimama kwenye utulivu wa ndani akijua kuwa nguvu zote za kuumba zipo kwenye kutotikisika. Wakati umati unapoteza nishati yake kwa kujibu kila upepo, yeye hukaa kimya kwenye kiti chake cha enzi. Dunia haikutawali kwa sababu unapingana nayo, bali inakusalimu pale unapokataa kuathiriwa nayo. Linda nishati yako, tawala utulivu wako, na simama kama sheria."_Zuza. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #utawala #power

zuza
zuza
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 16:00:00 GMT
1931
139
6
4

Music

Download

Comments

preacher250
Preacher025 :
zuzaism family
2026-09-23 16:36:22
1
zanzibar_tellertz
Zanzibar_teller :
yoo upo zanzibar
2026-09-24 15:04:33
1
elisha2704
Elisha :
Broo elezea kuhusiana
2026-09-23 09:37:54
1
sawizle
Sawizzl26# :
Mshua Una Akaunti Ngapi TikTok.? 🤔
2026-09-23 08:10:34
1
diana.gordian
Diana Gordian :
nakuelewa sana and siogopi kifo ila nataka kujua mwanamke akifa endapo atazaliwa tena atakuwa mwanamke ☺️
2026-09-24 13:18:50
2
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About