@isack.mkenja7: 🔥 KUNA MUDA BIASHARA INAFIKA HAIKUTAKI NGUVU ZAIDI—INATAKA UWE NA BUSARA ZAIDI. Kuna vitu ukiwa mdogo vinaweza kuonekana ni muhimu sana, lakini kadri unavyokua unatakiwa kujifunza kuacha baadhi ya mambo, watu na matumizi ya muda yasiyokujenga. Sio kila kitu unachokiona kwa wengine lazima ukifuate. Sio kila starehe lazima uipate. Sio kila trend lazima iwe sehemu ya maisha yako. Kadri umri unavyokwenda, unatakiwa kuanza kujiuliza: “Hiki ninachokipa muda wangu leo, kinanisaidia kujenga maisha gani ya kesho?” Usitumie nguvu zako zote kutaka kuonekana unaendelea mbele wakati ndani yako hujajenga msingi. Kuna miaka ukifika, lazima pia kuna mambo uache kuyapa nguvu na muda wako. Usijilinganishe na wengine; jenga maisha yako. 🧠🔥 Anza kujenga ujuzi, biashara, nidhamu ya fedha na mazingira yatakayokusaidia kukua. Maisha yako yana safari yake—usipoteze muda kuishi maisha ya mtu mwingine. 📩 Na kama pia una miaka 20–35 na unataka kuanza biashara ila una mtaji mdogo, umechoka kutegemea chanzo kimoja cha kipato, nitumie DM neno “BIASHARA”. 📲 WhatsApp: 0698282403 #business #startbusiness #growth #youngentrepreneurs
Isack Mkenja
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 12:54:21 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @isack.mkenja7, please go to the Tikwm
homepage.