Mimi nampenda sana mdogo angu Kibonge wa Yesu
namna anavyojua kupangilia mashairi ya nyimbo zake na jumbe zake aiseee ni fireeee
Mungu azidi kukuinua mdogo angu
2026-09-23 01:00:14
1
enea msigwa msigala :
kibongeee unajua kutumia mike your so good
2026-09-22 20:11:38
1
nommie filbert :
Amen
2026-09-22 22:37:55
1
Agness :
Huu wimbo huwa unanibaarik sana Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU
2026-09-22 15:19:35
1
MinisterBaraka_K :
about last Sunday God bless you bro for coming 🙏🏾😇😇
2026-09-22 18:46:50
1
BizzyDaughter❤️ :
jina la wimbo please jamani
2026-09-22 15:26:24
1
@Mary💫 :
Jina la wimbo tafadhali
2026-09-22 20:00:05
1
JESTINA SAMWER :
Wimbo wangu jamn uwiiiiiiiiii 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-22 19:42:11
1
Sikudhani Jamsom :
jasusi la mbinguni
2026-09-22 17:39:03
1
MANGOLE🏋️🏋️🏋️🤸 :
blesseng sn kaka nitaokoka kupitia wewe
2026-09-22 14:29:02
2
haruna :
ubarikiwe sana kwa huduma mtumishi wamungu🙏
2026-09-22 13:17:02
2
Gabriel mwakyembe :
nakukubali sana kak angu
2026-09-23 02:56:03
0
@officially aggieh☘️ :
My favorite song❤️🙏
2026-09-22 19:03:39
1
happyfelix✨🇹🇿🇰🇪 :
huu wimbo nao jaman 🙌🙌🙌🙌🙏
2026-09-22 18:22:13
1
@Mary💫 :
Wimbo mzuri jmn! Ubarikiwe!
2026-09-22 19:59:43
1
enea msigwa msigala :
my favourite song🥰🥰🥰🥰
badala ya misemo umenipa neno