@rise.pamoja: Nini maoni yako #creatorsearchinsights #realestatetanzania #dodomatanzania🇹🇿 #makeyourmoneyworkforyou #viwanjadodoma

Rise Pamoja
Rise Pamoja
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 13:21:39 GMT
38386
773
56
318

Music

Download

Comments

aggiejoe14
AggieJoe😘 :
ramani ya kiwanja naipata wapi dear msaada
2026-09-23 12:03:28
3
kylian4k7
Kylian🐆 :
suali: kwanini jambo hili lisiwe rahisi kila mwananchi aweze kufanya ,yani hadi mtu amlipe mtu ampambanie kupata hati ya umiliki wa ardhi jamani .
2026-09-23 14:09:05
3
juma16505
JUMAA JABARI :
vp ukiwa na hati zile za serekali ya mtaa?
2026-09-23 17:34:28
1
bbac.cabb
Bbac Cabb :
hiya Ramani ya kiwanja Naipata wait?
2026-09-24 09:19:16
0
user4027075747176
khushee :
na kama nina hati imeisha muda nataka kurenew
2026-09-23 13:07:14
0
baba.tee312
Baba Tee..!! :
Vipi kwa maeneo ambayo hayajarasimishwa huko nje ya mji..??
2026-09-24 14:04:24
0
mabuba202
mabuba :
gharama zikoje
2026-09-23 16:34:58
0
marecamarecancar
Majani De Boss :
sio kwa dodoma dada huwezi miliki ardhi kupitia viambata hivyo never utarudishiwa miamala yako adi fuvu lipanune.
2026-09-23 06:01:55
1
mangimmary
mangi :
gharama shi ngapi nataka uduma
2026-09-24 11:54:54
0
leyla7476
LeyShaLaundry& Drycleaners :
shingp
2026-09-23 14:35:28
0
silverjr71
SilverJR :
mahitaji yakupata hati ya shamba je?? au nisawa nakiwanja??
2026-09-23 10:20:39
0
gloria.daniel30
gloria daniel :
gharama ni shilingi ngapi?
2026-09-23 14:09:24
0
al_hikma_omni_group
AL-HIKMA OMNI GROUP :
vipi kuhusu Ile mikataba ya serikali za mitaa
2026-09-23 05:01:33
0
mahfudh67
Abdulwahid :
mbona namba hamna sasa
2026-09-23 10:26:09
0
karimkinyakagmail.com
abdulkarimkinyaka :
naomba namba ya simu
2026-09-23 03:12:08
0
elibarikijohnson0
elibarikijohnson9 :
Ashe
2026-09-23 15:44:58
0
jacksonngou985
jacksonngou985 :
gharama ikoje?
2026-09-25 12:52:46
0
yohana.bilia2
Yohana Bilia :
kwa dar mnapatikana wapi
2026-09-23 17:26:02
0
chrisafyasam
Chrisafya (mtamisemiwamuheza) :
tena TIN nanmba
2026-09-25 14:54:19
0
pili63291
Pili :
Nina.shida.mnapatikanamwp
2026-09-25 15:48:57
0
shomi.the.way04
shomi the way :
mimi sinauwezo beizenukubwa
2026-09-25 12:02:54
0
kakamkubwa12
kamimi store🫶 :
Kuweka lamination inaruusiwa maana kuna video niliona wanakataa na wakati mm niliruusiwa kuweka baada ya kumuuliza secretary wa ofisi za ardhi wilaya
2026-09-25 11:55:08
0
jacksonngou985
jacksonngou985 :
mikoa ipi?
2026-09-25 12:52:34
0
lucia.magumba
Lucia Magumba :
😳😳😳
2026-09-23 20:20:03
0
To see more videos from user @rise.pamoja, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About