@popcornavenue: #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fyp #fyp #viral

ScorpioWamemes
ScorpioWamemes
Open In TikTok:
Region: AE
Tuesday 22 September 2026 13:36:03 GMT
115426
5528
621
1203

Music

Download

Comments

54hey_
Your Bestfriend ❤️ :
Anger issues na 1st born ni 5&6
2026-09-23 09:27:46
0
user9908867325043
Sophia Wang🦋 :
tunahasira za mafanikio, shida watu wetu wa karibu wanatudidimiza😟😢
2026-09-23 11:55:14
225
user81020481217264
tgjane💞 :
kwaio mm nna sifa za first daughter maana mpka najiogopa mda mwngne😔na ni second daughter😅😁
2026-09-24 11:17:42
0
mekicareercoach
Career Coach Meki :
Hapa yenyewe nimekasirika unanipangia cha kuomba🤣🤣🤣🤣🥰
2026-09-23 14:25:11
97
haikaapple
Haika Apple 🍏 :
mimi mdamwengine najiogopa [Snicker][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 07:16:03
1
pryt462
pretty girl❤️💯 :
Hasira nishawahi kufokea wazazi mpka wakaniuliza kati yangu na wao nani kazaa mwenzake😂😂😂..... nikawajibu bahati yenu leo ningewazaba vibao
2026-09-22 19:13:20
109
jeaanniah
JeaAnniah :
ooh🥰im so cool 🤔
2026-09-24 06:11:24
0
cyl.lenda
MissLenda❤️ :
Nilijua ni weakness yangu 💔 kumbe. Ni janga la firstborn daughters maanina shemeji yenu hajanioa lkn anakoma 😅
2026-09-23 11:36:34
59
sophyrose40
Sophrose40 :
Nilimfokea baba anywe dawa nikakuta ameamka kala Kanywa dawa akamwambia mama kuna siku uyu mtoto atatupiga siku moja
2026-09-23 13:08:17
81
user8117159674787
user8117159674787 boss lady ❤️ :
wee 🤣😂😂😂😂😂 Mimi Nina hasira hatali eeee mpka nachanga🤣🤣🤣
2026-09-23 19:43:52
0
mom_mulhaty
🦋 Barbie_daty🎀 :
First daughter nyota aries basi nachoka hasira zinalipuka kam moto jmn🥺
2026-09-22 16:41:46
23
urbanessentials10
Urban Essentials :
ni Tunafokea hadi Wazazi 😂Kuna siku nimemwambia mama Acha kuwa mpole unajiendekeza ujinga😂😂💔
2026-09-23 13:55:05
34
emmyfranky4
Emmy 💞 :
AQuaris group O hasira mpaka natatemeka😳 na first born yooh😂
2026-09-22 18:19:58
16
jojo_posh3
Jojo Poshy♌️ :
Kwanza umeniambia ivo na hasira ishapanda😂😂
2026-09-23 13:25:48
27
regina.yohana0
Regina Yohana :
Tunaoogopwa na Wazazi gonga like hapaaa😂😂😂😂yaan mzazi akitaka kukupigia aanze kujifikilia kitu cha kuongea kiwe cha Maana kbsaa😂😂😂
2026-09-23 12:15:58
27
__nee._
Larneygracie🥰 :
Hata sie tunajiombea izo hasira ila ndo ivyo utakavyokuja ndo tutakavyokupokea🤣
2026-09-23 10:00:15
39
bella_fancyflaire
Ella 💫 💜 ✨ :
Kuna mtu ashaniambia nina sauti ya mamlakaa 😩😩😩
2026-09-23 15:36:42
10
einothmollel40
einothmollel40 :
very true
2026-09-23 18:35:19
0
lissabella18
Elizabeth :
nilimgombeza boss wangu hadi akakaa kimya nikamwamby anipe jib naendelea na kazi au naacha kazi duh!
2026-09-23 09:17:42
18
ms___lara
✨💄 :
bad enough wazazi wangu ni malast born jmn ni unapandishwa baipola oyaaa unaeza wachapa 🤣🤣🤣
2026-09-23 10:21:21
8
itsmeeh77
🎀tusanna® :
Marafiki wa kuview status 🥰
2026-09-24 09:59:32
0
miss_powers12
Gracie Samuel :
Nikajua ni mimi tu kumbe ni janga la first borns wote🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-09-24 07:33:33
1
itz.n.y.l.a
N Y L A 🧿 :
Nishachamba mtu huko afu nkaenda kujituliza na kutafakari😂🔥
2026-09-24 02:26:37
3
mamuh734
mamuh# :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa 😁
2026-09-23 16:58:20
1
mimiadelard
mimiadelard :
malezi...ya first born yalikua ya kujihami...
2026-09-23 14:08:22
1
To see more videos from user @popcornavenue, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About