@pmtv.tanzania: Msanii Wa Bongo Fleva @z_antoofficial ameachilia video ya mpenzijini ngoma ambayo mpaka sasa ina miaka 19 ilitoka tangu 2007 Kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza kuwa video tayari ipo YouTube lakini pia msanii huyo anaendelea kufanya poa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva. #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokzanzibar🇹🇿🇹🇿 #tiktoktanzania
pmtv tanzania
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 14:07:20 GMT
Music
Download
Comments
Jooh :
Apewe pongezi sana maaan hadi jini kukubali kuonekana kweny video amejitahidi sana kushawishiwi
2026-09-22 21:11:19
59
_.jacq :
Nlikuwa jela Kwan bado tupo 2007😂😂😂😂
2026-09-22 17:45:04
46
Salum Ayoub :
duuu hiii ndio tz
2026-09-22 20:12:19
0
lion 🦁 boy :
daah hol bit bas
2026-09-22 20:26:39
0
rich gangster :
mbona kha mina ally
2026-09-22 21:57:26
0
S 055🪬 :
kujiongeza muhimu
2026-09-22 18:13:48
21
Hassan: Heart :
Yan uyu Dem nime muona juzi kwenye movie ya Dunia
2026-09-22 18:48:53
11
Paronick28 :
Yaan sku hz madirector hawajui kutengeneza hualisia, majin ya siku hz hata hayatishi kabisa
2026-09-22 19:41:01
11
madam 🇹🇿 :
Twendeni YouTube tukamsupport 🥰
2026-09-22 19:17:14
7
Mrs_❤️🔥🫀💍 :
nilkua naisubir kwa ham jmn video hii🥰🥰🥰
2026-09-22 18:32:51
11
mamie❤️🔥🍒 :
2008 ndo nlikuw nazaliwa😂
2026-09-23 06:39:14
0
Christer🤍✨ :
Kwahy haijawai kua na video hii nyimbo😁
2026-09-22 22:33:08
1
fetty :
jin la nyimbo
2026-09-22 20:33:59
0
Rashid Mohamed :
Director ameikosea bana bora angefanya maskani anahadisia na pingu anaingia na style ya kumwambia kuh jini
2026-09-22 20:13:00
1
dragonfly_tz8 :
Jini mzuri hvyo
2026-09-22 18:43:11
3
Halima kimdori 🍀🌹 :
Hadi raha
2026-09-22 18:34:00
2
Baruti's Heritage :
wacheni makasiriko😏
2026-09-22 18:15:40
3
Feyfey🎧 :
Jini mmbea anatak kuharibu mapenz ya manyanya😂😅😂
2026-09-22 18:49:03
1
🦋Chèrie :
Bdo mapenz yanarun dunia ya alikiba 😅
2026-09-22 19:34:13
1
Ilham Said :
16 ngoma ilitok 2010
2026-09-22 19:06:34
1
allymsahilo :
majini kumbe ni warembo ivo
2026-09-23 05:26:07
0
dee .nova 🌟🌟🌙🌙 :
perfect
2026-09-23 08:08:56
0
Concious_99 :
audio nilisikia redioni 2007-video nimekuja kuiona kwenye simu yangu 2026
2026-09-23 05:43:33
0
𝐅𝐚𝐡𝒾🌸 :
Inaonekana kali🥰
2026-09-23 07:14:41
0
rey qeen💞💞💞 :
Hazeek uyu Z anto wenu
2026-09-23 09:43:12
0
To see more videos from user @pmtv.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.