@universities.tz: 𝐹𝑜𝑙𝑙𝑜𝑤 𝑢𝑠 𝑓𝑜𝑟 𝑡ℎ𝑒 𝑡𝑟𝑢𝑠𝑡𝑒𝑑 𝑢𝑝𝑑𝑎𝑡𝑒𝑠 𝑜𝑛 𝑢𝑛𝑖𝑣𝑒𝑟𝑠𝑖𝑡𝑖𝑒𝑠

TANZANIA UNIVERSITY ASSOCIATES
TANZANIA UNIVERSITY ASSOCIATES
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 14:14:29 GMT
123160
1834
55
370

Music

Download

Comments

userprincessdalii
Haleemah🦋❤️ :
Biology bora lingekuwa la lazima [Embarrassed]
2026-09-22 19:19:15
1
user7938781091025
Royo jr :
kwhy haina haja ya college college na university
2026-09-22 14:47:18
0
user0683882724
wawaMN :
aliyeelewa kweny namba2 na namba5 anieleweshe jaman mi MSUKUMA
2026-09-22 15:16:50
6
nicholaus.lipende
255 DE WILLYSON TZ :
Geography hawachagui ni lazima na Biology ndo wanachagua
2026-09-22 19:47:21
3
www.ggie
Cherry🍒🫂 :
mm cwaelew
2026-09-22 18:10:40
0
user4480082507247
user4480082507247 :
Somo la katiba je?
2026-09-22 19:07:18
2
finechach
Michael :
madakitari watatoka wapi sasa ifikapo 2050 kam biology ndo hiyo yakuchagua alafu kemistri hakun phizikia hakun huo uinjinia unatoka wap mbon kama mnataka kutengeneza kizaz cha starehe vile wakat watu wanapambn kutengeneza sayansi sis tunaikimbia tena
2026-09-22 14:44:53
4
user2798616510322
kidoti :
nimesoma lkn sijaelewa jmn?
2026-09-22 19:23:08
0
aluphaxadbazilioj
Alphaxad Joseph :
na walimu wa kuwafundisha hayo masomo watakuwa ni hawahawa walimu wetu au kutakuwa na mabadiliko 🧐
2026-09-22 18:45:36
1
momas66
MOMAS :
Uongo mtupu
2026-09-22 16:58:12
2
ibrahim332566
Ibrahim 33 :
je wanao ingia advance 2027
2026-09-22 16:44:38
1
user54280309070587
mkumbi jr :
Mme subili sie tumalze ndo mlaisishe mambo aucy
2026-09-22 19:20:54
0
user4388750345394
🔥jenny :
hayo masomo mengne yanachomekwa wap xx
2026-09-22 16:00:30
1
adam_ayo2
adam ayo100 :
maandiko mareeefu maandalizi sifuri
2026-09-22 19:52:15
0
mariath.rajab
Mariath Rajab :
kazi mnayo kizazi kipya,enzi zile mitaaala ilikuwa i ikijadiliwasasa kwa kiti hiki anaehoji nani huyooo?twendage ivoivo ila kiukweli kuna sehemu haijakaa sawa
2026-09-22 19:45:27
0
sabramakame74
sabramakame74 :
Nilivyoona AI t nkasema nasubr kauli ya mdomo kwa vyombo nnavyoviamin
2026-09-22 19:34:46
0
zaynabumrssaidi
Zaynabu Mrs saidi :
duh
2026-09-22 19:34:19
0
mfikwaalex256
Alex Mfikwa :
mm nimefrahi 😅😅😅😅
2026-09-22 19:23:43
0
maadili01
Maadili :
Tumepigwa hapa. namba 2 na 5 mbona havieleweki sasa
2026-09-22 16:48:15
9
vina.moses
Vina Moses :
😂 Nani kasoma hadi mwisho anitumie voice note nisikilize 🥺
2026-09-22 18:40:50
0
user5326129456544
neycorigiva :
sijaelewa kabisaa msaada
2026-09-22 18:13:29
0
lurraty
Lucy 🥰🙏 :
Hapo kwenye no 4 ingekuwa lugha ya kufundishia ni kiswahili na kiingereza kingekuwa Kam som tu au
2026-09-22 19:17:22
0
mussaadonia566
don tz✌ :
tunakoelekea nitaludi shule naona
2026-09-22 20:13:08
0
zanianyeku
🪷Ms.Zany🪷 :
bora
2026-09-22 19:11:14
0
rosetesha6
rosetesha6 :
kwa katiba hiii
2026-09-22 16:17:22
0
To see more videos from user @universities.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About