@mwisrael.mtoto: Huyu ndiye Mzee wetu Syote mtunzi mahiri wa nyimbo katoliki zenye tafakari ya ndani sana. Na huu ni wimbo wake pia. Amezikwa huko sumbawanga katika makaburi ya Katandala kanisani. Tuendelee kumuombea kwa Mungu pumziko lenye heri. #tikitokkenya🇰🇪 #kwayakatoliki #catholicmusic #syote #catholicchurch

Mwisrael Mtoto
Mwisrael Mtoto
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 14:21:33 GMT
24871
1662
287
68

Music

Download

Comments

iamboomyj
Boomy The Blossomer :
shine in your way hero song writer. may you find a choir in the next realm. very nice song
2026-09-25 06:49:58
1
bodhi194
Bodhis :
God rest his soul in eternal peace
2026-09-24 19:04:18
1
hkiptiony
mum a ber :
St. Syote Pray for our composers
2026-09-24 07:30:12
1
herbs.kid5
HERBS KID :
A very nice and enjoyable song ever may his soul rest in eternel peace.
2026-09-23 18:59:56
1
bety.g60
BettyOM :
Nilifundishwa wimbo huu 1996. RIP BABA
2026-09-22 19:57:39
5
gazito153
Gazito :
Sumbawanga zamani ilikuwa na Talents za muziki mtakatifu Syote Malema Ntapampata SANGU etc
2026-09-23 07:54:05
8
maxhinkelvy
Maxhinkelvy.🫅🏻🫅🏽 :
Raha ya milele umpe ee Bwana.
2026-09-23 04:23:21
9
sloyounique1
Sloyo Mole :
nyimbo inayonibariki na hasa nikiimba sauti ya pili🥰🥰🥰P.K.A babu yetu 🥰🥰🥰
2026-09-23 11:50:57
4
user81806136230978
Be humble :
Mzee wetu alikuwa mkoa gani?
2026-09-24 08:22:59
1
user4339135584411
baba lao mistari :
na apumzike salama mwalimu syote.
2026-09-24 14:20:37
1
bosirephemic3
bosirephemic :
heri ya milele ampe ee bwana na babaetu apumzike kwa amani
2026-09-24 14:56:13
1
wander.tz
Wander Tz :
Masituoneshe watu wakiwa wameshakufa jmn jitahidini kuwa promote watu wakiwa hai haina maana mtu afanye kazi kubwa halafu akisha kufa ndoo mseme
2026-09-22 20:02:17
3
asya.michael8
Asya Michael :
Apumzike kwa Amani
2026-09-24 10:34:02
1
szczesny86
Szczesny :
Huu wimbo bila shaka yoyote ulitungwa Mbinguni, halafu BWANA akaamua uipitie kwa Maestro Syote kutufikia sisi duniani. Thank you Lord JESUS CHRIST 🙏🏾
2026-09-23 20:47:15
1
nicerjoseph
veetricious joseph💓😍 :
daah so sad rip babu angu
2026-09-23 17:16:42
2
karolina.mponzi
Karolina Mponzi :
Kumbe alishafariki, Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani🕯
2026-09-23 03:43:11
1
happiness.mwebeye
Happen :
Tushawah kuimba huu wimbo enz hixo nipo ktk kwaya cku nyingi sana
2026-09-23 18:17:03
1
nghangagasita
Ng'hanga Gasita :
Mungu mwenye nguvu ampunguzie adhabu mwl wetu kipenzi na tunu ya kanisa
2026-09-23 06:59:08
1
enock.makoga
Enock Makoga :
raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
2026-09-23 09:04:50
1
magesamulongo
@Stanleystanley :
raha ya milele umpe ee bwana
2026-09-23 10:21:50
2
try4njane
Jk16 :
Ee Bwana apokee roho yake na ipumzuke kwa amani.
2026-09-23 06:49:22
2
mwanziapaul
paul master :
raha ya milele umpee ee bwana na mwangaza wa milele umuangazie apumzike kwa amani
2026-09-23 09:45:32
1
patricia.alexande69
Patricia Alexander :
Pumzika kwa Amani mzee wetu, utakumbukwa na vizazi vyote
2026-09-23 07:43:24
1
salome.raphael7
Salome Raphael :
Upumzike ktk amani yake🙏 Nakukumbuka ukifundisha Aleluya kuu Parokia ya Korongoni Moshi kwaya ya Mama na Malkia.🙏
2026-09-23 07:18:13
1
To see more videos from user @mwisrael.mtoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About