@usinifollowsitak: #creatorsearchinsights #truckdriverslifestyle VIONGOZI VIPI KUHUSU JAMBO HILI HUKO BARABARANI RTO TUAMBIEN DHUMUN LA HILI HUKU SI KUPOTEZEA MUDA BADO KWNY 5️⃣0️⃣🚫 HILI HALIJA KAA SWA KBS #TRAFFICROAD#RTOTZ#tiktoktanzania🇹🇿 @Mr Champion 🏆 @KICHWANI AMNA SHULE 🤕 @@Chejo_Wana_Man 🐰 @USTADHI WA TANZANIA @ALL ABOUT BUSES BACK UP🇹🇿 @MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧

Official @_Mr ribs 👉💪👈
Official @_Mr ribs 👉💪👈
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 14:29:45 GMT
41273
2072
269
61

Music

Download

Comments

eizermix
Eizer :
Rekodi dashboard yako, overtake mbele itakusaidia kama ushahidi. Ni kosa kisheria kutembea mwendo mdogo kiasi hiko high way. Pili huo mstari wa single line unakuruhusu ku overtake kama mita 200 au 300 hakuna gari. Ingekua ni mistari miwili iliyofunga hapo hauruhisiwi ku overtake kwa hali yoyote. Shida yenu mnawaogopa sana askari. Jisimamie kwa vifungu. Na wakibisha kubali kwenda mahakamani ila sio wakutoze faini. Mimi binafsi sehem yenye naijua sheria huwa wanaenjoy show. Nikikosea nawahi kujishusha.
2026-09-23 18:28:28
43
ibrahsaleh1
ibrahsaleh_kigogo :
mstari mmoja kielimu ina maan pita kama mbele salama mistari miwili ndo huluhusiwi
2026-09-27 09:20:14
4
charlemakocharle
MAKO SON :
Mnawaendekeza me kunasiku niko na mzee tunatoka mtwara tukakutana wao maeneo ya dangote wanaenda mdogomdgo nikachukua video nikamwambia mzee me natoa gari wife amejifungua sijamuona mtoto na dsm ni mbali 😅😅 oyaoya nilimpiga oni kali nikampita pembeni yake mbona alitoa gari nje akachochora me kibati nafika mnazi mmoja wamejaa sikua na papala kuna poti mmoja alikuwa na nyota kama 3 hivi nikamfata nikamwambia kamanda sikiliza najua wew mpka upate hizi nyota unashule hapa tunaonga wasomi wawili unaeniona hapa nina Bachelor degree imetulia tu chagua tutumie lugha gani kuelewana nikwrli nime overtake ila siwezi kujieleza sana tazama hii video ya watu niliowaovertake na je sheria gani iliyotumika huyu bwana kunitembeza kwa speed 20 na akifika sehemu inàyo niruhusu kuovertake anatembea speed 100 je ulitaka nishindane nae basi kama nisheri mpya itangazeni na video nshamtumia kaka yangu ni mwanasheria alichunguze 😅😅😅 mbona jamaa waliniambia tusifike mbali ondoka me nakupita na ukizingua nakupushi siwez lalamika
2026-09-24 07:12:49
17
user25620591491831
Gea.k13 :
una ushaidi tiali pita
2026-09-23 03:06:30
9
kiwia_techsolutions
kiwia tech solutions :
kutembea chini ya speed ni kosa kisheria
2026-09-22 17:03:25
5
majoongs
Majoongs :
Hio ni mojawapo ya kosa ya kukatwa pointi...yaani..ni kosa kuendesha gari kwa mwendo wa polepole bila sababu za msingi...
2026-09-23 06:10:42
7
manadobe
user9491641490847 :
kwa huo mstari mmoja unaruhusiwa ku-overtake kama una sababu za msingi zenye mashiko kama hii , lakini ikiwa mistari miwili ndio hutakiwa kabisa.
2026-09-23 04:20:09
10
mkaguruogchief
Chief mkaguru 😋🍕🍔🌭🥪🧁🎂 :
huu ni ubovu wa jeshi zima la usalama barabarani sababu wamewafanya madereva ni vyanzo vya mapato ndo maana wanafanya hivyo makusudi na wanaofanya hivyo hawawajibishi maana wanakula na wakuu wao hii nchi kwa sasahiv kila aliye serikalini anafanya atakavyo sababu hatuna uwongozi wenye kukemea matendo maovu kama enzi ya magufuli
2026-09-25 06:23:17
7
jeshii66
JESHII👊 :
madereva tuiposti sana hizi video ztatusaidia
2026-09-22 19:36:04
6
putosmpima
🥰 P : U : T : O : S ❤️ :
mm namuovatek na hanisumbui mamae
2026-09-22 20:57:12
1
sharifathumani109
Sharif Athumani :
mbn zingine zina pita
2026-09-25 08:25:49
1
geita.roadlife
GEITA RoadLiFe 🛡 :
kwa nn tunaLazimishanaa kukoseaa aaise
2026-09-23 04:53:22
2
mark_wiwi
Double Dubz :
Ungemulika namba ya Gari tumjue ni nani 😁
2026-09-25 03:20:46
1
user5933174527045
kachala boy :
😂😂😂😂😂 hi serekali ina wenyewe kaka hiyo ilisha wah kunitokea morogoroo hao wapo kimaelekezooo kakaaa
2026-09-23 07:17:59
5
user8463025057149
akko :
yaani. polisi wanatafuta pesa kwanguvu
2026-09-22 22:26:41
1
user3571652768461
baba wa wili :
madereva hamjielewi mtu anaham ya kugongwa kwa nyuma
2026-09-23 09:33:51
1
onesmopatrickobed
tvs onesmo :
walisema kutembea spide ndogo nimakosa kishelia sasaimekaaje iyo
2026-09-23 18:33:54
1
mster.j4
M@STER J🪐🦺🦺🦺 :
me sivumiliagi huu ujinga never
2026-09-23 16:27:00
3
mphiladephia
Mtabe :
kwani kosa la kuovertake ni sh nga?
2026-09-23 09:19:41
2
mjukuujr
Mjukuu :
hii siku hizi imekua tabia alafu ni tabia hovyo sana wanafanya
2026-09-26 17:49:13
2
kauger6
GMPLION :
kunasiku watajitega wenyewe,atakuta siku chuma imekataa break,ohoooo
2026-09-27 07:18:54
1
boazgpaul
Boazgpaul :
Mimi naona serikali unatengeneza uhasama wa wazi kabisa kutokana na maudhui ya picha mjongeo
2026-09-26 23:25:42
1
kachibo_mnyama01
kachibo mnyama :
liwalo na liwe
2026-09-23 17:58:30
1
hamisnkjxjp
chakachaka :
Wametufanya madereva ndio mitaji yao wanatutafuta kwa kila namna na hapo gari ndogo zimepita hana shuhuli nazo pita wewe uone hii nchi kila mtu anafanya anachokitaka yeye sababu ya madaraka mungu anaona yote inshaallah atatulipia tu kila jambo na wakati sijui hii serekali inatakaje kwa madereva wametuletea mambo mengi alafu wanatutafutia ajali inaumiza sanaaaa
2026-09-25 10:31:20
1
bakaridbg
Brown Mgongoa :
Viongozi na askari lao moja wanabebana
2026-09-22 19:20:38
1
To see more videos from user @usinifollowsitak, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About