@alfaris.tanzania: JAMANI EEH KIBLA IMABADILISWA!!!! ______________________________________________________________________ Asante kwa kutufikia kuhusu safari ya Umrah ya mwezi wa 10 Package ya Umrah ya mwezi wa kumi ni dola 2350$ sawa na Tsh 6,251,000Tsh Inajumuisha ✅ Visa ya Umrah ✅ Tiketi ya ndege (go & return) ✅ Hotel Makkah na Madina ✅ Bima ya Afya ✅ Usafiri wa ndani ya makkah na madinah ✅ Ziara sehemu za kihistoria ✅ Ihram kwa wanaume na hijjab kwa wanawake ✅ Maji ya Zamzam lita 5 Tarehe kuondoka 21/10/2026 Kurudi 31/10/2026 Ili kujisajili kwa safari ya Umrah ya mwezi wa kumi, tunahitaji taarifa zifuatazo: 1. Jina kamili kama lilivyo kwenye passport 2. Picha/Copy ya passport (iwe bado ina muda wa kutosha) 3. Picha ndogo ya passport size 4. Namba ya simu ya mawasiliano 5. Taarifa za ndugu wa karibu (emergency contact) Baada ya kupokea taarifa zako tutakamilisha taratibu za safari InshaAllah 🤍 Karibu sana

Alfaris Tanzania
Alfaris Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 14:32:10 GMT
9308
762
8
23

Music

Download

Comments

honarable08
HON MR SALIM MCA MKONGANI :
inshallah nahitaji kuenda Umrah kumtembelea Allah ,,yeyote ajitokeze tu anilipie gharama kwa ajili ya Allah nipo kenya
2026-09-22 15:18:38
2
user1539289476773shazimi
shazimina 💞 :
Mwalimu khamiss mm sitokusahau MUNGUU akuweke
2026-09-22 15:40:02
1
maheer49
Maheer 26 :
Mashallah 🥰
2026-09-22 14:38:33
1
yemen.kid
Yemen kid😊 :
shukran
2026-09-22 15:53:22
0
cherki065
RAYAN CHARFl :
mashaallah
2026-09-22 14:41:41
0
stepsofafricasafaris
Steps of Africa Safaris :
Mwamba huyo MashaAllah ALLAH tuongozee
2026-09-22 15:21:09
1
user8887474026942
official mush🕸️buibui junior :
naswal moja iv nipo polin cjw kibla kipo wap jeeh nifanyj
2026-09-22 15:05:05
0
45name
45 NAME :
❤️❤️❤️
2026-09-22 16:39:56
0
To see more videos from user @alfaris.tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About