Unamuomba mtu elf 20 anauliza unatak kufanyiann mi namwambia natak kujenga nyumba
2026-09-23 07:07:59
30
Imelda the best :
bora sh ngapi kuliko naomba hela naulizwa ni ya nini? uwiii sipendi hili swali
2026-09-22 16:27:52
64
mariam :
nitumie hii video ninataka niipost stutus
2026-09-23 11:03:43
0
Josephine Mbwambođčđż :
Si Bora aseme shingap jibu Sina
2026-09-23 12:28:38
0
everything kanike :
bora shi ngapi? hii "ya nini? " sipendi kweli[Big LOL][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] wababa mnasababisha tunakua waongo waongo[Laugh approved]
2026-09-22 18:10:23
1
LavieMarkâŁïž :
Mimi akinipa pesa baada ya siku mbili ananiomba Mimi tena Ile Ile aliyonipa
2026-09-23 02:35:32
11
Fateemađ :
Status shwaaaaa
2026-09-23 12:31:24
0
đđđ» :
So true
2026-09-23 08:08:06
0
Aisha Juma :
Bora sh ngapi, kuliko kila siku sina hela .
2026-09-22 17:35:29
13
TINE :
Ushauri mwingine bhn
2026-09-23 03:01:56
1
Beata Joseph :
sasa sibora huyo anae sema shingapi Wangu hata 5000ukiamba utasikia sina hafu anaanza kukwambia me sahivi biasha haiko sawa visingizio vingi
2026-09-23 09:15:48
5
SAMTECH BUILDERS â :
Sasa wakichukia Mimi inanipunguzia nini kwenye hela yangu
2026-09-23 04:15:57
2
dollartree :
nimetoka kuambiwa sh ngapi nakutana na hii clip nachoka mimđđđ
2026-09-22 15:09:57
6
Rida Bae :
nimezidisha sauti adi mwisho asikie[Tears of joy]
2026-09-23 10:51:41
1
G :
Nimeshasema siombi Tena
2026-09-23 09:17:36
2
jemiecollection :
Asante baba umetusemeađna pia hela yann hatutak wasituulize
2026-09-22 17:51:54
6
Brendahđ„° :
Kuna mm sipewi ata mia
2026-09-23 15:39:49
0
may_ceejozey :
tunaoambiwa sinaa mko wap
2026-09-22 19:08:52
4
@hajlaty changa :
hii inaumaa bora sh ngap naupewe tupo kwenye ndoa lakini tunajihudumia km tupo wenyewe
2026-09-23 13:48:58
0
Tistar billy :
sisi ambao hatuishi kwaajili ya wanawake na Wala hatuwazi ata waki ondoka tujuane apa
2026-09-23 08:03:03
1
Laurah :
unaomba hela mwezi wa tatu utapewa mwezi wa tano, teeeenaaaa kwa kumkumbusha atakwambia nilisahau halafu akupi kiasi uichomuomba.
2026-09-22 18:15:15
3
mmbiki :
yaani SIPENDIIIO
2026-09-23 04:44:42
1
mom ndekwa â€ïž đ :
ukiuliza shingapi nasema au bac nimehailisha
2026-09-23 10:45:40
1
Greyc Businessđ :
ukiniuliza ya nini, sijibu nakausha na nitanunua nilichokuomba, sasa hapo utapiga mahesabu ww nimetumia pesa za matumizi au nimehongwa.
2026-09-22 17:42:34
2
Linah Loveđđ :
limtu alielewi khaa
2026-09-22 16:20:37
3
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.