mungu ni tunzie huyu mwalimu toka ni me mjua nime kua na amani manaa nilikata tamaaa kupitia mafundisho yake nime pata wasaidizi wa kiungu nafanya kazi kwa kujiamini sijawai kurudi nyuma napokea baraka kila siku nime piga hatua asante Mungu🙏🙏🙏🙏
2026-09-22 15:28:08
12
MC OLIVER :
dar lini
2026-09-22 18:52:14
1
❤️TherealWin❤️❤️ :
mungu anitunzie wewe mwalimu
2026-09-22 19:24:05
1
aby msemo :
Amina 🙏
2026-09-22 16:00:17
2
Neema Faustin :
Namic ibada sana😊
2026-09-30 17:10:53
1
herself_hk :
Matawi hapa📌
2026-09-22 18:49:01
2
Gissa Brami :
Amina Bwana
2026-09-22 16:49:31
1
solanji :
2026-09-22 20:01:22
2
RoJoM :
Nifundishe baba!! mmi ni tawi! Mungu nisaidie nizae matunda!!
2026-09-22 16:56:19
3
blackeagle :
mtumishi umesema sisi ni nani😂🤣😆🤌🏾
2026-09-22 22:38:03
1
neylove :
mimi ni matawiii 😃😃😃nakupenda mwalimu asante kwakunifunulia hili mungu anilindie ww😘😘😘😘😘😘
2026-09-22 18:13:55
1
jenipha lyakugwire :
hakika mimi ni wa juuuu
2026-10-03 09:37:05
0
zelishyy :
mwl naomba unieleweshe mbona kwenye 2kor 6:9-10 iko tofauti plz naomba unieleweshe😌😌🤔
2026-09-22 17:48:17
1
Celin Dayme💞💋 :
amina
2026-09-22 16:58:44
1
Hope G :
Mimi ni matawi
2026-09-23 05:23:36
0
Marko Gijanjal :
positive sana
2026-09-22 16:09:13
1
daniella :
Nakupenda Sana papa
2026-10-02 10:20:30
0
Neema temu :
Amina
2026-09-22 16:51:24
1
Dativa Pontion :
Ila🙌🙌🙌🙌
2026-10-01 09:43:56
0
2pac :
amna[Pray][Pray]
2026-10-16 08:29:17
0
Evelyne🌸 :
pasta umenicheksh kweny maombi😂
2026-10-17 14:44:56
0
The form is not the spirit. :
nakukubali sana jombaaa,, siendagi kanisa yeyote .... ila kuna wtumishi wa Mungu ,huwafatilia naww ni mojawapo,,, endelea hivyohivyo,,, usije toka nje ya reli
2026-10-15 09:12:07
0
Amani Petro :
Aminaaa sanaa baba ubarikiwe sana upo vizuri sifa na utukufu kwa Bwana Yesu Kristo 🙏🙏🙏