@misswandagordon: Sikilizeni kwa makini na muelewa huu ujumbe kutoka kwa Mwalimu Emilian Busara wakati anazungumza kwenye event ya From Saving to Smart Investing akiainisha utegemeano baina ya biashara na uwekezaji Ukiweza kuelewa hii utaelewa zaidi kauli yake aliyoisema mwishoni kwamba mfanya biashara mzuri ni muwekezaji mzuri na muwekezaji mzuri ni mfanya biashara 📌 #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo
kikubwa Kila aliefanikiwa anahaki ya kutuvuruga Kwa ushauri wake mpaka tukome kuwa masikini
2026-09-22 17:52:50
29
CPA Joel :
hivi kati ya
1. UTT
2. SHARES &
3. FOREX
ipi nzuri😂😂😂
2026-09-23 06:43:07
6
BenTech04 :
Nafatiria kuhusu UTT Ila cjafanikiwa kujua namna yakufanya ili niwekeze UTT.
2026-11-14 07:06:01
2
She’s-a-queen🫅🌸💦 :
Tulienjoyyy banaaaaa 😂😂😂
2026-09-22 16:16:57
7
strayter symn :
Vijana wenzangu tufanye biashara tukizeeka tutafata ushaur wa huyu mzee
2026-10-23 17:27:23
1
KEMA👑💯 :
Huu ni ukweli na uhakikaa ✅
2026-09-22 16:48:01
11
florashija :
nifundisheni na mm kuhusu bond na mifuko ya pamoja ndio ikoje
2026-09-22 16:53:10
3
Obed Jacob Rutabila :
One thing ni kwmaba kila mtu lazima atete pale anapo pata ugali kwa hiyo hii vita aiwezi isha leo wala kesho
2026-09-22 18:33:25
2
strongdady :
Sitetei wala kuponda, ila nishauri uwekezaj ni muhim sana mda huu tuna nguvu, wekeza UTT/HISA etc kuna siku utaona faida sio sasa
2026-09-22 19:06:09
4
MpendaPerfume and Luxury Gifts :
Tuliokuwepo tunaelewa vizur sana
2026-09-22 18:27:12
2
mr.Kelvin :
kuna mtu nishawai kumuuliza anifundishe jinsi gani utt hisa na mambo ya bond yanavyofanya kazi yeye ni agent cha kushangaza anataka kunichaji pesa ili kunifundisha sasa mm ndo mteja mnaanza kuniogopesha badala ya mafunzo kupewa free kwa sababu naenda kuweka pesa yangu nyie mnanicharge pesa kweli
2026-10-28 19:10:20
0
jhunter :
jaman sijui bahat itakuja mara mbili maana tuli enjoy sana Mungu awabariki sana msalimie dr amina
2026-09-22 19:18:01
2
jojo :
Najilaumu kwann sikuijua Utt mapema maana muda huu ningekuwa mbali sn. But bd namshukuru Mungu nimeanza mwaka Jana kudunduliza
2026-09-27 14:48:37
2
leojudas21 :
Helloo, Miss Wanda Gordon.
Samahani naweza kupata link ya hii event, ili nijifunze zaidi
2026-09-22 18:04:37
1
Ja Rule :
Kwa wadada UTT sawa 😁
2026-09-22 18:08:28
1
Mvaa Andrew :
Bora umesema
2026-09-22 19:20:41
1
intruders :
hela yenyewe ya kula hatuna ya kuweka huko tunatoa wapi, 🤣
2026-09-23 09:34:04
2
SINDATO OLETIYA :
ubarikiwe sana mwalimu
2026-10-03 03:41:45
1
happiness :
Kwan hiz semin zinafanyikaga wap mbn sizionag
2026-10-06 11:21:54
1
Kasanda George :
nataka kujiunga na mim sijui nianzeje naombs utakatibu
2026-10-07 11:39:35
1
Waziri :
kuwa na multiple sources of income. hii ndiyo message sahihi.
pia soma Rich dady poor daddy,tumia pesa kugenerate income
2026-11-10 16:16:46
1
Cici's Curtains & Interiors :
tatizo wengi wanaopinga wanataka kuchanganya wealth creation na wealth preservation kuwa kitu kimoja.
Biashara,ajira,vibarua hizo ni za wealth creation.
Uwekezaji wa aina yoyote, iwe hisa,UTT, T-bond,real estate,bitcoin hizo ni za wealth preservation.
ukishapata wealth yako unatafuta mahali pa kui preserve
2026-10-13 07:13:20
1
gustavo :
hii nchi kila mtu mshauri
2026-11-13 13:46:30
0
s jk i am Tanzania :
kuna wakati pesa haigawanyiki.
2026-11-06 14:56:49
0
Bossa :
KK WAMBIE WENGI HAWAJUI
2026-09-23 13:34:45
0
To see more videos from user @misswandagordon, please go to the Tikwm
homepage.