@am_jackline: Siri ya Mtungii ndo hii sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #fypシ゚viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #bongofuntiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #fyp

am_jackline
am_jackline
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 15:51:04 GMT
457451
78212
2529
2570

Music

Download

Comments

comforty792
comforty😌❤️ :
😂 Wengine tunasali Mara nane nane ili tupate ndoa
2026-09-22 16:51:55
1343
neykind
neykind :
Mbona unatoa Siri za watu😂😂
2026-09-22 17:21:10
470
mamnah23
mam nah😘🫰 :
kwenye ndoa, miguu na vichwa vya kuku hatuli, tunatupa
2026-09-22 16:54:46
727
user7272501762
queen boss ❤️ :
mwisho nimecheka😂😂
2026-09-23 09:31:16
88
aggiepol2
Aggiepol🥰 :
sema haki ya Mungu sitaki kuolewa... semaaaa😅😅
2026-09-22 15:58:52
510
berry_cosmeticstz
Berry cosmetics :
Kuolewa raha asikwambie mtu anaesema hivyo jua hajapendwa na hajapata wa kumuoa
2026-09-23 13:07:49
15
baby32face0
🦋naah cute official🦋🌺❤️🦋😍 :
Waliolewa wanataman kutoka 😳🥺
2026-09-22 21:32:42
96
rose_kirii
Rose🌹 :
unamchanganya Mungu asikilze lipi hutaki au unataka?😂😂😂
2026-09-22 16:58:35
434
candysweet8750
bounty killer :
afadhali kuwatch sarakasi hadi mwisho [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-23 21:35:37
0
djsmile291
New manager💝🥰 :
😂😂😂😂Sikujua kama huu ndo mwisho
2026-09-22 16:24:10
171
mpenzi001
mpenzi :
huyu n mimi🥹nawaambia sitaki ndoa juu nmechoka kuulizwa waolewa lini ila ndani ya moyo kidonda
2026-09-22 21:35:49
52
agnessgikaro
aggy😍 :
apo angeonyesha a few moments later😅😅🤣🤣
2026-09-23 20:05:51
0
official.rey49
official rey ❣️ :
Nimecheka kwa sauti mpka nikapigwa kiba0
2026-09-22 15:57:30
169
itskule.urlove
☠️ 😝Lucifer 😝☠️ :
come to me
2026-09-23 21:51:46
0
suzanmairy4
suzanmairy942 :
[Laughing][Laughing][Laughing][Laughing][Laughing][Laughing]mbona kama umenisema mimi
2026-09-23 12:45:12
0
lovebrd21
LOVE BIRD :
10/10
2026-09-22 16:23:35
5
victorysecretcollection
Victory :
nimecheka mmmmmmhhhh😂😂😂
2026-09-23 18:13:57
0
user2171923599044
Ryamu :
😅😅😅😅game over 😁
2026-09-23 20:50:06
0
edina.kenani2
edina kenani :
unaweza zani ni connect kumbe ndo maisha yetu sisi wengine 😂😂😂😂
2026-09-23 09:57:24
84
hawa.ngalima
Social Media Manager Queen 👸 :
Jack wa mchana na wa usiku tofauti
2026-09-22 17:33:31
140
mellon_87
🦋Mellon_87💋🥰 :
Kosa lako ni kutangaza hutak ndoa 😂😂😂
2026-09-22 19:30:41
32
twivan663
twivan :
Tena saa Tisa usiku😹😹 nje wanakana
2026-09-22 15:57:16
104
tulahnelson0
blackpanth :
nmecheka adi aliyeniunga WiFi kachange password 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 16:24:16
96
jesca3161
Jesca :
kumbe tupo wengi tuliochoka kujiudumia..ajitokeze mwanaume jamani anioe naomba sana 🙏🙏🙏🙏
2026-09-22 17:29:44
17
mollen_dc
mollenritha👩‍⚕️ :
Daaaah ila Jacky🤣🙌
2026-09-22 16:11:51
81
To see more videos from user @am_jackline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About