@lutystar3: KILIO CHANGU Part 64 Baada ya mchakato mzima wa interview kukamilika, muda wa kufanya uamuzi umefika. 📂 HR, Manager na Finance Officer wanakaa pamoja kuchambua kila candidate… lakini jina moja linaonekana kuwa mbele zaidi ya wengine. DORIAN. Je, simu anayopigiwa itabadilisha kabisa maisha yake? 👀 #creatorsearchinsights #loweffortwaystoboostretention #trendingreels #storytime #storytime

Lutystar
Lutystar
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 17:06:28 GMT
119317
17465
433
429

Music

Download

Comments

wittnessmichael77
Wit yanga 🙏❤️ :
Dorian waludiane na anger 🙏🙏🙏🙏😭
2026-09-22 17:14:37
12
user9193956775451
Mbodze kiti :
HONGERA Dorian...next plz
2026-09-23 05:35:30
0
colestinaalchard
colestinaalchard :
Hongera Dorian , umepitishwaaa 🥰🥰 Next please
2026-09-22 18:58:34
2
user1626618195957
Catherine 💞 :
nimesuka nywele kama ya enjo😅😅😅naomba like zenu😅😅😅
2026-09-22 19:12:52
29
jamila.shabani6
MRS RJ :
Evance ana fanana enjoy pia mama ake Evance ana fanana mama enjoy anae ona kama mm aseme kitu
2026-09-22 22:09:54
2
syliviafaustine01
sylivia faustine :
doriani na Angel waludiane jamni
2026-09-22 17:09:33
27
deecalliope20
decalliope🤍😜 :
Evance na Dorian ni marafiki wa kweli adi rahaa
2026-09-22 17:56:19
23
namelocksaningo0gmail.c1
namelock@54 :
next please 65
2026-09-22 20:49:54
2
ivany.felix
Ivany Felix :
kwanini comment nyingi za angel na Dorian kuludiana mbona ni za Wanamake wakati yeye ndo alizingua, Wanamake mnanini kwani
2026-09-22 18:38:53
21
user69463778
𝙽𝙴𝚈𝙼𝙰𝙰🌹 :
hapana waendelee tu na Nadya Angel alizingua
2026-09-22 17:10:56
19
user74563478368545
Mrs Bazirako :
next plz
2026-09-23 04:10:42
1
may.ally5
may ally :
Next episode 65
2026-09-22 18:19:50
1
voushan
voushan :
Uzuri inanifata
2026-09-22 17:22:44
5
user2020laixebaby
_ _its Teeh🌸🌸 :
jamani najua haiwahusu ila Leo Nina hasira mapenzii wangu amenikera
2026-09-22 18:56:19
5
user901959473197
frolly🤓 :
Dorian na nadya wanapendezan baraa
2026-09-22 17:45:38
22
user6357191035143
user6357191035143msemo angel :
nawaombea sana Dorian na Nadia wafikie lengo lao
2026-09-23 04:21:48
8
mickeydola
Mickeydola :
Nadia ni mzur jmnii natamn ningekua mzur iv 🥰
2026-09-22 20:15:24
3
grady.mwasenjele
miss G official :
nmekuw wa kwanz kukoment naomben like zangu🤣🤣🤣
2026-09-22 17:12:00
7
merianaaroni
neriana allon :
woooow Leo vimetoka vipande viwili au mi ndo nimeachwa
2026-09-22 17:24:27
8
alhajimasoud
alhajimasoud :
rafiki yake Dorian' yupo Duke la nguo mara kavaa kitambaa mara kinabadilika rangi mara hajavaa
2026-09-23 05:18:40
4
cathy04082006
Queen of peace :
hii story apa nimependaa jaman
2026-09-23 07:02:39
1
francistz24
Francis :
ex wa dorrian Akiendelea kufurahi sifuatilii ten hii movi
2026-09-23 13:00:34
1
barack.bisturi
barack bisturi :
suit
2026-09-23 08:38:33
1
rebeka.simon0
Rebeka Simon :
Dorian akirudiana na angel naacha kuangalia move
2026-09-23 09:06:51
2
victoriambupila
Victoria Mbupila :
dorian ndo kaanz kukuwa mbon sura ina change
2026-09-22 21:29:26
2
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About