@millardayo_: Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said amesema Wanamichezo wataendelea kumkumbuka aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume aliyezikwa leo Septemba 22, 2026 katika makaburi ya familia yaliyopo Mbweni, Zanzibar. Akizungumza katika msiba huo, Eng. Hersi amesema mbali na nafasi yake kama Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatma Karume alikuwa na mchango mkubwa katika historia ya klabu hiyo, akishirikiana na Marehemu Mzee Karume. Amesema mwaka 1971, wakati Yanga ikitafuta eneo la kujenga makao makuu yake, ombi hilo lilifikishwa kwa Mzee Karume ambaye alikuwa na chaguo la kusaidia ujenzi wa Makao Makuu ya Yanga Bara au Klabu iliyokuwa Zanzibar. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 17:06:36 GMT
Music
Download
Comments
Ally Simba :
Amini. Amini. Amini
2026-09-22 19:01:43
0
4S么GHOST!亗 :
[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]mama atu wanayanga tunamsiba mzito sana mungu tupe nguvu
2026-09-22 18:36:53
0
Fetty vardes :
Rest in peace 🙏🏾🙏🏾
2026-09-22 17:13:28
0
faiza Ally Love kipenzi 💋💋 :
amin 🙏🏻 amin 🙏🏻 amin 🙏🏻 amin 🙏🏻
2026-09-22 18:56:29
0
Benny Peter🇹🇿 :
nambie kwanza kabla sijahuzunika, hakuwa mwana ccm?
2026-09-22 17:10:30
2
Ms🦋 Nullie 🌸🍫🧸 :
😭😭
2026-09-22 17:42:54
1
Ali Mgwali :
JAMANI JAMANI JAMANI HII SIKU NZITO KWA MAREHEM ANAHITAJI ZAIDI DUWA HAYA YA YANGA NA MENGINE HAYANA TIJA .
2026-09-22 17:19:09
1
Abdallah Kilima :
Inna lilahi wainailahi raj,uun
2026-09-22 18:49:16
0
Shehani Nzenga :
mungu ailze mahali pema
2026-09-22 17:31:33
0
Gift Mwasaga :
😭
2026-09-22 17:11:27
1
SpongeBob :
Innalillah wainnailahi rajiun
2026-09-22 17:35:37
0
frankjunior :
Yanga Bigwa R.I.P Mama
2026-09-22 17:12:34
0
Hemed Rashid :
inallilah wainailah rajiuon mungu ampe kauli thabit inshaallah poleni wote pamoja na mm....yanga ni kitu kubwaaa😅
2026-09-22 17:52:34
0
it's_buse og+ :
🥺🥺🥺
2026-09-22 17:15:44
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.