now that they have admitted their mistakes,it is time to write a new history to zanzibar
2026-09-24 00:03:32
0
London :
it's a new world, everything will come out
2026-09-23 04:28:18
5
clever9 :
Habari hii humkuti milard ayo wala sns kuposti wala global
2026-09-23 06:02:57
25
someone in Zanzibar :
you can't feel the pains...
2026-09-24 04:22:21
0
dulado alsaedy :
badooo iyoo bado watasemaa meengi tu
2026-09-22 19:44:21
17
kiba :
hasbuna allah wanneemal wakil
2026-09-22 19:33:28
19
Maulid Zanzibar :
Babu yangu kabla ya kufa aliniambia mambo ambayo yapo tofaut na vitabu vya shule na yeye kipind cha mapinduzi alikua na akili zake anakumbuka vzur 😁
2026-09-23 06:14:27
14
MSELA ZONE :
kumbe ni hao ayaaaaaa[Heartwarming]hahahaaahhh
2026-09-22 22:25:45
6
true voices :
hapana kusamehe walipe fidia
2026-09-22 20:17:28
10
Abuu Muslih :
walipe fidia
2026-09-23 06:10:20
6
Aboud Msonde :
alhamdulilah Kwa kuwa muislam kwani subrah imefanya tuheshimike Tena alhamdulilah
2026-09-23 04:53:09
6
allah karim :
Frida yake nini
2026-09-23 03:26:30
2
mkayz :
Binafsi sijasamehe
2026-09-23 12:42:09
2
Tuma Mudy (انا بنت عدنان) :
haki huchelewa lkn hurudi
2026-09-23 09:40:20
3
hemedabdallah2 :
Sasa vitabu vyote vya historia tulivyosomeshwa viondolewe kwa sababu vilikuwa kwenye mipango ya kuzalilisha uislam
2026-09-23 12:00:47
3
Bob Hans new season :
atar
2026-09-23 06:33:17
3
gadafi :
Ukweli tunaujua ila tunataka nchii yetu iwe free sio koloni la tanganyika
2026-09-23 12:40:11
1
HAFAI KUITWA MKE :
ivi nyinyi mbona mnapindisha mambo
2026-09-23 12:32:32
1
hamqaati :
Raisi una hekima sana umewasamehe magaidi wakati wao wanatudai mpaka riba na hawajawahi kutusamehe
2026-09-23 14:39:00
1
user6105686362290 :
Bado watasema mengi tusubiri kama utaisikia itv star tv channel 10 radio Maria subutu kusikia hiyo habari tunaitaka kwenye taarifa za habari zenu
2026-09-23 14:15:55
2
Dr. Mtauni Mansour. :
Hii Ni kweri Au ?!!
2026-09-23 10:27:15
2
Sandu Ulemo zabibu :
watulipe fidia Sasa sio kutubu tu nakuomba masamaha msamaha bila fidia ni bure,.
2026-09-23 13:29:06
1
ABILITY_EMPARES :
me nipo pmj na,nyinyi ila kwanini WASILIPE FIDIA KWA WALIO YATENDA kipindi cha utumwa
2026-09-23 05:57:46
2
Ruyz Ngesha :
hapa paka na sisi tuwachape fimbo zetu
2026-09-22 19:53:13
4
Sharkx Boy Sharkx Boy :
mm binapsi ningependa km kweli wamengundua na kukiri nakuomba msamaha kwa makosa waliofanya bas wangekabiliana na Asari za makosao wafanya ingeleta mana ya msamaha wao ivyo tu 😭😭😭
2026-09-23 06:00:17
3
To see more videos from user @mrvigor2, please go to the Tikwm
homepage.