kuku yupo sahihi maan watoto wakiwa mbele ni salam said anaweza kutambua hatar kwa harak kabla aijawapat sasa apo bata ata watoto wakikamatwa au wengine wakibak nyuma atajuaje
2026-09-23 08:01:15
17
abiasi boy :
kuku yup good
2026-09-23 10:05:24
0
Mamu :
aaaaah me sielew bhn wote nawaona wapo sahihi
2026-09-23 09:09:40
2
hunter and worrior :
wote hawapo sahihi
2026-09-23 07:53:05
5
Lucy mwambenja💞❣️ :
bata yuko vzr
2026-09-23 09:16:50
2
Fadhil 💥24@ :
Kweny maisha yakwel bata yupo sahih aiseeh
2026-09-23 11:29:08
6
Modricky Joe #89 :
Wete wapo sahihi kw wakati wake ukitizama tukio lilipo mbele yao ni kuvuka barabara 👀
2026-09-23 11:04:39
6
Gee🦋 :
kuku yupo sahihi zaidi kwa mtazamo wangu hata maadui wakija kwa mbele ni rahisi kumuona kwa haraka na kuweza kuwakinga watoto
2026-09-23 09:21:32
3
RIZIKI NYAlUSI :
bata yupo sahihi kiongozi anakuwa mbele
2026-09-22 18:55:03
5
Naida William :
bata maana anajua anakoelekea kupo salama 🙏🙏
2026-09-23 08:00:30
3
r.th@s 3v@rist :
mtangulize mtoto mbele
2026-09-23 07:58:04
1
sophia h :
kuku ndomama bor
2026-09-23 09:15:38
1
Eunice George :
kuku jmn
2026-09-23 09:08:47
1
Ste boy 🦁 :
bata yuko sahihi
2026-09-22 20:57:30
4
🔥Alex🙏 :
kuku
2026-09-23 08:49:18
1
MUHAJJ 06 :
bada
2026-09-23 09:09:18
1
Jangwa kivuyo :
kuku
2026-09-23 08:16:37
1
Neema Donald :
kuku
2026-09-23 07:52:07
1
Manywere No 1 :
wewe umeonaje mwandishi
2026-09-23 08:31:44
1
Ommy JR :
ukiwa nyuma tatizo la mbele unaliona unawahi kuweka kava ila ukiwa mbele la nyuma huliona unakuja kugeuka watoto wote hawapo ila wakiwa mbele unawaona💯🫡.
2026-09-23 10:44:17
2
samwel :
wote wapo Sahihi maadui wapo kila sehemu
2026-09-23 09:08:46
1
user3760962747307 :
Kuku yupo sahihi coz anawaona watoto wake wote mbele
2026-09-23 09:07:27
1
✌️ :
kuku
2026-09-23 07:38:11
1
To see more videos from user @user8diij0m5pu, please go to the Tikwm
homepage.