@katnertumsifu1: HUYU JAMAA NI NOMA SANAA

Katner TK
Katner TK
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 17:49:18 GMT
78513
5288
109
308

Music

Download

Comments

patylovetz
Partylovetz :
Ningepata uwezo kama huyu ccm wangekoma
2026-09-23 06:35:24
18
yanga_bngwa
INTROVERT :
Ndio shida yetu waafrika mtu anauwezo mkubwa anaitwa mchawi, Kwa hyo naa yesu alikuwa mchawi kwa kufanya miujiza ?
2026-09-23 04:12:09
35
shukuru947
shukuru94 :
kabur lake lipo misasi nilishafikapo
2026-09-23 04:00:32
14
miss_pistar
miss_pistar :
Malizia story plz
2026-09-23 06:37:41
0
user3678138457196
mosses filbert mallya :
hiyo nikweliii sio uongo
2026-09-22 21:53:46
8
chrissj33
chris wigo😎 :
kwanini alikufa na technology yake nitaitafuta hiyo technology Nina kazi nayo[Pray]
2026-09-23 05:42:21
4
kwaoshabani
Kwao Shabani :
mbona kama nafanan nae
2026-09-22 22:16:15
5
kalundejr6
kalunde jr :
babu yangu
2026-09-23 08:30:51
0
malukuli
Joseph shabo fumakule :
mm ni msukuma na ndiyo natokea kwenye hiyo koo ya mwana marundi tena misungwi na bulima ya ndinga niwasukuma wengi wanatoka koo hizo
2026-09-23 06:16:42
4
bagapro30
Hassan :
ntauliza JJ ephrahim
2026-09-23 00:00:49
2
alex.mahando
ALEX MAHANDO :
mmmmmmmm
2026-09-22 22:39:38
3
user81804637963074
mabula :
nikweli haswa
2026-09-23 00:48:09
2
manenoijegenya
manenoijegenya :
hiyo ni kweli ila Kwa sababu hatujijui vizur hatuwez kuamin thanks
2026-09-22 23:06:52
3
fred058
fredy_058 :
wasukuma tunaelewa hii story 😁
2026-09-23 06:33:21
2
jumakarongolela77
Juma Karongolela77 :
huyo wa tabora, kwer kaka historia ya ukweli kabisa, ZAMANI watu walikua hatari sana
2026-09-23 04:05:53
4
imani.john98
IMANI JOHN :
kwa hiyo tunakubaliana huyu merlini wa enzi hizoo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 04:12:13
6
user13964029740
user13964029740 :
nishafka kwenye mawe haya yapo bukombe geita
2026-09-23 08:10:07
1
vicentmashaka767
Vicent Mashaka :
kweri
2026-09-23 03:32:02
1
aloycejoseph22
Aloyce Joseph Aloyce :
sio mchawi
2026-09-23 07:26:47
1
kijaj31
beriybabay :
wasukuma tunasikia sana habari hizi siyo ngeni kwetu😂😂
2026-09-23 05:56:05
1
elizabethpaul6140
Elizabeth paul :
huy ndo Merlin mwenyew au
2026-09-23 06:13:41
1
david_sospeter
Call me dev :
Simulizi imepoteza ladha kwangu baada ya mwandishi kutumia neno mchawi 😞
2026-09-23 07:33:33
1
moreenelia0
moreen :
zamani kumbe wanaume walikua ma handsome hivi ☺️☺️
2026-09-23 03:46:16
4
mrmussaofficial0
Mr Mussa Official :
𝑁𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎, 𝐌𝐚𝐠𝐞𝐦𝐛𝐞 𝑚𝑢𝑢𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑚𝑎𝑙𝑢𝑓𝑢 𝑤𝑎 𝑚𝑎ℎ𝑎𝑑𝑖𝑤𝑒𝑦𝑎.
2026-09-23 04:22:23
1
meemkoreah
Meemkoreah ❤️ :
ngoma ya mwanamalundi 🙌 ukisikia iyo unalala unaota[Laugh approved]
2026-09-23 03:09:56
2
To see more videos from user @katnertumsifu1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About