Siku hizi ukinunua chipsi kama unakula hapo hapo unamwambia muuzaj dumbia "maana yake usifunge"😂😂
2026-09-23 12:03:04
116
@mo kid⚽️🥰 :
jamn si sakina wangu uyuu jmnjmn mamy
2026-09-22 18:54:37
19
phoy🥰 :
cheza kama umemwona ex wa zamanii kwenye shoo😂😂😂😂
2026-09-23 10:19:25
37
DivdorA💧 :
Ungepost TikTok ingeenda Viral 😁
2026-09-23 11:38:41
18
saidiprosper 15 :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman