@wizlyrics45: 🔥 SHUKRANI KUBWA SANA KWA MASHABIKI WANGU WOTE WA LYRICS! ❤️✍️👑 Kila Like, Comment, Share na Support yenu imenipa nguvu kubwa ya kuendelea kufanya ninachokipenda. 🙏❤️ ASANTENI SANA kwa kuwa sehemu ya safari yangu, kwa kunitia moyo na kunisapoti mpaka hapa tulipofika leo. 🥹🔥 Bado tunaendelea kusonga mbele, hii ni mwanzo tu! 🚀✍️❤️ Mungu awabariki sana kila mmoja wenu. 🙏❤️ 👑✍️ WIZ-LYRICS — LYRICS FAMILY ❤️🔥 @MALUME👑 #lyricsvideo #Newsong #tanzanianmusic #fyppppppppppppppppppppppp #malume