@sauti_online: Kiongozi wa Jopo la Wanasheria wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Wakili Cletus Tharcisius Nziku amesema kuwa Tume aliyoagiza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda kuundwa kuchunguza mkataba wa uzabuni wa jezi za Timu ya Taifa Stars, kati ya Sandaland na TFF haina mamlaka kisheria kubatilisha mkataba huo. Amesema hayo katika mkutano Waandishi wa Habari leo Septemba 22, 2026 wakitoa msimamo wao kuhusu kauli ya Waziri Makonda kukataa jezi zilizozalishwa na Sandaland kwa kuziita hazina ubora.

Sauti Online Tv
Sauti Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 18:16:27 GMT
9269
155
22
5

Music

Download

Comments

dalali.chinga0
Dalali chinga :
nice bro
2026-09-27 22:34:37
0
user3407366173022
Alhikma bin Nassor :
Uzuri na ubaya ni mtazamo wa mtu, hapo konda kakosea
2026-09-27 20:20:14
1
daudkondo3
daudkondo3 :
Si muende mahakamani?
2026-09-27 13:39:40
2
hassanimsangi770
Hassani Msangi :
hazina viwango
2026-09-23 06:58:19
0
godfreytowo6
GodfreyTowo :
sasa watu mnataka jezi original na timu hakuna jamani
2026-09-27 06:09:32
2
super.kimbe
super Kimbe :
mbona Kama unaogopa.
2026-09-28 07:01:37
0
oxygen_005
Oxygen :
Taifa kwanza, maslahi yenu baadae. Jezi ni low quality.
2026-09-24 21:32:03
2
ayoub.yusuf2
Ayoub Yusuf :
wizara inakataa wizara
2026-09-28 08:57:02
0
juliusludete
juliusludete :
Ama kweli fedha za nchi hii zinatapanywa hovyo! Tume inalipwa na nani! Fedha za walipa kodi!
2026-09-25 11:16:27
1
ayoub.yusuf2
Ayoub Yusuf :
waendelee😏😂😁
2026-09-28 08:56:06
0
breezy_og47
~brEEzY_oG47 :
cc 2nataka jezi original mzee achna na ngonjera zko ww iz zte n njaa 2 walete jezi Original
2026-09-27 11:16:35
1
user46666056673720
jelemiah abel :
kaka ushaambiwa don't took uwo udhaifu huo peleka mahakamani mbona kama mnachambaumbea wachakujitetea
2026-09-27 20:55:32
0
ally.omary859
user38472947373 :
sasa shida ipo wapi wacha wajirithishe ukiona tofauti utaenda Panapo husika unatapatapa nini sasa
2026-09-27 08:11:36
0
onesmoakwilini
ONESMO AKWILINI :
Bashite
2026-09-27 11:59:45
0
jafari.babayu
JAFARI BABAYU :
mpaka piko et
2026-09-27 10:57:07
0
xyb9874
xyb9874 :
Kama Wizara inachunguza mchakato, ndani ya Wizara. Kwa nini unaturushia mate ilhali wewe siyo sehemu ya wizara? Au wewe pia ni mwanasheria wa Ndumbaro?
2026-09-27 10:36:01
0
katefar.farm
Katefar Farm :
sasa kama kilikuwa na makandokando,, hpo dogo umeferi
2026-09-28 13:23:44
0
petermushi23
mushi :
Damas ndumbaro nimwanasheria aliyebobea hizo ngochiro nyingine ni kelele tuu
2026-09-27 15:45:16
0
vivian.tinda
Vivian Tinda :
mzngatie rangi
2026-09-22 18:46:02
0
To see more videos from user @sauti_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About