@zoe hussein:mimi nilikula kitu kinaitwa chanu chakula yamashetani
naenda shule asubui nakutana ana mikate yakumimina na mbahazi zakukataka na maandazi yananukia iliki mfukoni nina miambili ya miogo na barafu mimi nani silile kile chakula chamajini 😂😂😂😂
2026-09-23 10:38:08
2
jecca :
njia panda karib na nyumban niliwahi kukuta nazi zimewekwa kwa chungu kipya zimeandikwa majina ya kiarabu zimewekwa na karanga na dawa mm na tim yangu tukala naz zote na karanga😂
2026-09-23 10:02:51
1
Hd_Harrison :
wasukuma wenyewe wanazitafuna hizi kwao ni kama dhahabu
2026-09-23 03:00:13
5
WAUKWELI Love ❤️ 😍 :
vunja tukapikiee ss au tutafutee 😅
2026-09-23 06:49:34
2
Alawi :
Ilibidi jamaa ashngae kwanza
2026-09-23 14:14:09
1
mitumba og :
nomaaaa
2026-09-22 19:23:29
2
🦋❣️Niamh🩵🦋 :
hapo haiwezi mdhuru mtu sababu sio wao wahusikaaa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]tunakulagaa tu
2026-09-23 12:07:47
1
saugy19 :
hali ishakua mbaya hatujari lolotte😂😂😂
2026-09-23 10:08:13
1
no love 💔 :
jamaa amini anacho kiona 😂😂
2026-09-23 07:58:07
1
jojo tz :
watu wagumu balaaaa
2026-09-22 20:45:04
1
Zaynabo 1213 :
😂😂😂😂😂🤣 woooooiiii ila TANZANIA 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-24 05:07:34
0
To see more videos from user @anodi_master, please go to the Tikwm
homepage.