@almecky_tz: Mtoto wa Marehemu Mama Fatma Karume, Balozi Ali Karume, amesema mama yake alikuwa na mchango mkubwa katika kuwawezesha wanawake kushiriki katika nafasi za uongozi na shughuli za kijamii, kabla na baada ya Mapinduzi ya Zanzibar. Balozi Ali amesema Mama Fatma alikuwa miongoni mwa wanawake walioshiriki katika harakati za kudai haki na ushiriki wa wanawake katika maisha ya kisiasa, ikiwemo kupigania haki ya wanawake kupiga kura. #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending

almecky_tz
almecky_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 18:27:38 GMT
6625
217
3
14

Music

Download

Comments

ahman034
ahman034 :
hii ni kopi ya karume
2026-09-22 21:08:18
1
rosekavindi629
Rose Kavindi :
poleni sanaa
2026-09-22 20:47:27
0
tizedboy
Tizedboy 🇹🇿 🇩🇪 :
Alikuwa Kuli pale bandarini .
2026-09-22 20:36:57
0
To see more videos from user @almecky_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About