So the balloon popping dating show stole the idea?
2026-09-22 22:07:34
197
fikra :
mwenye hajui venye kunaendelea hebu niwaeleze, hii ni time msichana amefukisha umri wa kuolewa so moran wenye wamefurahishwa na dame wanaguza hiyo ring na kama kuna moran hamtaki anaweza pass bila kuguza, dame na yeye kama kuna kwenye hataki kwa hawezi mkubali aguze ring inabidi aiangushe,, sasa wenye ameruhusu waguze ring kuna test zingine watafanya mwenye atawin andiye atamuoa🥹🥹🥹 but to be honest si Hawa ni wasichana wadogo sana🥲??
2026-09-24 04:35:19
74
Ian Kipleting Yator 🇰🇪. :
what is happening here?
2026-09-24 07:02:46
0
Saudah November bea :
banange wemuli oba ndiwo nzekaa
2026-09-23 22:06:52
24
LoneWolf 🐺 :
situlisema don't judge the book for it's cover🫴😹😹😭
2026-09-23 07:48:35
3
cyrliokoye :
If I'm from here that means I will never get married Because each time I go they will drop it on the floor😂😁😂 Because I am ugly😏
2026-09-24 04:28:57
25
African Mummy :
I looooooove the masaaie culture so much i dont even understand the language but i feel so connected. I sometimes meet tall handsome men in South Africa and mistake them for masaai men❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-24 05:08:20
4
ESTER PETER :
ndo nn sasa sijaerewa hapo
2026-09-22 19:31:04
52
mary wanjiru :
🥺🥺🥺nasi mtu akuje anielezee ninini inahappen hku
2026-09-22 21:28:53
27
meneja kambiaso✅ :
ambao wajaelewa wamekimbilia kusoma coment kama mm gonga like apa
2026-09-23 16:18:01
25
lasty wa yuwes😍 :
Whoever touch that ring may gonna be the husband
2026-09-23 06:46:19
10
just _her_glado✨ :
ndio anachagua atakayekuwa mumewe
2026-09-22 21:02:00
19
EJE :
gani akiangusha anajua anamaanisha huyo mtu ni kshrhridygsdi jdhbrrihrh rurngd7nrht
2026-09-23 11:14:20
10
Tulah Alex :
Apo akiangusha hajakupenda asipoangusha anakupenda
2026-09-23 12:30:18
15
Liz Philip :
this could be my culture but mum n dad choose to be kikuyu 😅😅😅😅
2026-09-23 05:43:52
6
Daisy ❤️ :
What does that mean
2026-09-23 02:25:10
7
Steven 😘🤩😍😇😇 MP :
ngoja niwaelekeze ndugu zangu akikidondasha inamanisha mnisikilize kwa makin hapo akikiweka chin inamana oooedbshwhwjjsjxbxbskanbsbsbsbs ndio maana anakidondosha
2026-09-23 13:31:45
8
STAR boy ole maimba :
inaumaga iyo
2026-09-22 20:21:01
6
Rinyo Banks :
ko ndio kama hamutaki ndio anadondosha au mim sijaelew
2026-09-22 19:47:23
12
Sam 🇯🇲🇯🇲 :
oya familia mniabie nini kinaedelea hapa
2026-09-22 20:35:32
5
Rashid Magambo :
inamana gani ukitaka kugusa atakiangusha na ukikigusa na yeye kakishima inamanisha umependwa au
2026-09-23 09:48:30
0
king :
hata Mimi angeangusha chini juu ikiwa juu ni dangerous
2026-09-23 14:49:48
2
Lloyd :
Kwa ambao hamjaelewa. Hii inamaana kuwa mind your own business 😂😂😂
2026-09-23 13:20:42
1
Naitwa Bichwa :
😁 kama kwa wamasai kupata mke ni rahisi ivi...
2026-09-22 21:53:53
0
To see more videos from user @liontiktok41, please go to the Tikwm
homepage.