Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@hernandez_sari_: #fyp
sari
Open In TikTok:
Region: MX
Tuesday 22 September 2026 18:58:08 GMT
1038
212
4
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.45MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.39MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
𝓢𝓪𝓻𝓪𝓱𝓲𝓲 🍸 :
MI ESPOSA[Ojos de corazón]
2026-09-22 19:51:08
0
미투 사엘 🖤 :
2026-09-22 19:14:21
0
ℒ𝒶 𝒻𝓁𝒶𝒸𝒶 :
preciosa 😍😍😍😍
2026-09-22 19:03:47
0
nanda.😍💞 :
😍😍😍
2026-09-22 19:00:49
0
To see more videos from user @hernandez_sari_, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Serikali imeanza tathmini ya utekelezaji wa programu za Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi, katika hatua inayolenga kupima mafanikio yaliyopatikana, kubaini changamoto na kuweka mikakati ya kuboresha huduma hizo. Tathmini hiyo inatekelezwa kwa ushirikiano kati ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Waziri Mkuu–TAMISEMI, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuimarisha utekelezaji wa programu hizo katika mikoa na halmashauri nchini. Akizungumza Septemba 22, 2026, katika kikao kazi kilichofanyika mkoani Simiyu, Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Sospeter Mtwale, amesema tathmini hiyo imekuwa nyenzo muhimu kwa maafisa elimu katika kutambua hatua iliyofikiwa, changamoto zinazojitokeza na maeneo yanayohitaji maboresho zaidi. Naibu Katibu Mkuu huyo amesema Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi kupata fursa za elimu kupitia Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023, pamoja na Waraka Na. 2 wa mwaka 2021 unaowezesha wanafunzi waliokatisha masomo kurejea katika mfumo wa elimu. Amesema hatua hizo zinaenda sambamba na uwekezaji unaoendelea katika ujenzi wa shule na madarasa nchini, ambao umeongeza nafasi za wananchi kunufaika na fursa za elimu, wakiwamo wale walioko nje ya mfumo rasmi. Katika tathmini hiyo, maafisa elimu kutoka mikoa 26 na halmashauri 184 wamekutanishwa kwa ajili ya kujadili utekelezaji wa programu hizo, kubadilishana uzoefu na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto zinazojitokeza katika maeneo mbalimbali. Tathmini hiyo inatarajiwa kusaidia kuainisha maeneo yanayohitaji kupewa kipaumbele, huku uzoefu kutoka mikoa na halmashauri mbalimbali ukitumika kama msingi wa kuboresha zaidi utoaji wa Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi nchini. #Pakua App ya #OpenMedia playstore kusikiliza #DoubleORadio na kutazama #OpenMTV au kupitia tovuti #openmedia.co.tz, Kwa Matukio, Habari na Matangazo wasiliana nasi 0677107271 au 0677107273.
نغمـه موسيقى جميله 📱🎵 #نغمات_جوال #نغمات_رنين #نغمات
kkkkkk💖💖💖kkkkkk
10:40/💔Mohsen lorstany#foryou #actives? #imrova✅🤍🥀 #foryou
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy