@khaanmahaba:

khaan mbarouk
khaan mbarouk
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 19:22:57 GMT
37962
3735
103
93

Music

Download

Comments

user3732995139601
Mussa :
Khaan Vipi
2026-09-27 11:13:33
0
mygee0606
mygee :
Watu huwa wanachanganya kitu kimoja. Kuna watu siyo wapekuzi wa simu za wenzao kabisa, ila sababu ya kwanza huwa ni mabadiliko anayoyaona kwa mwenzake.Simu inabeba mambo mengi ya mtu, hivyo kupekua simu huenda itampa majibu yaa maswali yake kwamba mwenzangu mbona kabadilika. Kwenye ishu ya matokeo yake sasa hiyo ni personal kulingana na atachokikuta😂😂 the this is mtu anachokitafuta kwene hiyo simu atakipata tu, ko anavyoshika simu ajiandae pia akikipata atafanyaje.
2026-09-23 06:39:22
7
prettylola49
Prettylola49 :
Mimi cyo mpekuwaji cm but nikiona kuna mabadiliko yyte ndy nashika cm nione ni kweli kama ni kwel inasaidia kuongeza kujipambania mwenyew inabidi uamke kiakili jipende jipambanie jali watoto kuliko kujitoa kwa mwanaume ambaye yy kaona kutoka nje ndy kunampa furaha au amani
2026-09-23 06:03:20
30
fiynah30
Fiynah💕🧘‍♂️ :
Unakuwa Bado unampenda ndo maan unamfatilia Ila upendo ukiisha tu huwa ujali Tena afanyechochote huumi 🥰
2026-09-22 22:00:47
12
abir.ssabil
Abir Ssabil :
Sio kumpekuw tu mpk kutrack kila sms itayo ingia kwake. Na itakayo toka kwake.Sina mda wakupoteza Maisha ni mafupi sana. Magonjwa kila kona.
2026-09-23 10:22:26
3
mamubaya
happymubaya :
Sometimes we have to so we know tunaishi na mtu gani
2026-09-23 08:52:58
2
zeynab10151
zeynab10151 :
Mm nikiona simu yake naigeuza jman 😂😂😂maana hata nikioa sms kwa juu napagawa 🙌🙌
2026-09-22 20:12:59
0
nasra3444
NASRA ❤️👣 :
Huwo mchezo nishaacha maana sitki kualibu afya yangu yaakili
2026-09-22 21:11:55
5
user22170143128354
Malema♡♡♡ :
kujiridhisha tuu kama ananiheshimu
2026-09-22 19:54:59
1
kapingaomary5gmail.com
Kapinga Omary :
Tatizo linalopelekea ni kutaka kujua hatima ya ndoa na kujiandaa mapema baada ya kuona mabadiliko. wenzetu huwa wakinogewa nje huonesha mabadiliko tofauti na sisi
2026-09-24 04:08:45
2
sarah.richard50
Phina 💞🦋📌 :
nataka kujua Kam ana mchepuko na sitak nikute mchepuko 😂😂na nikikuta 🤣🤣hata cjui naandika
2026-09-22 20:05:49
2
adamkatabi657
Adam Katabi :
khani we nimtu wa mana sana
2026-09-23 09:37:30
1
mrs.muhamad
Mrs Muhamad :
Mara nyingi kuna wakati mwanaume anaweza kukuonyesha baadhi ya dalili zinazokufanya uanze kumshuku na kujiuliza ni mambo gani ambayo anaweza kuwa anakuficha, hali hiyo inaweza kukufanya hata uanze kuangalia simu yake.
2026-09-23 14:10:30
1
kidumaster1
Kidulinyo :
Ipo hivi unapekua ili kuangalia au kusibitisha bado anaupendo wa dhati au laa nakama ukisibitisha yupo na mwengine inakuwa mnaish ili muish lakn sio kimapenz coz wenda wewe aufanyi lakn yeye anafanya lakn pia kujilinda na magonjwa
2026-09-23 05:28:53
2
charmie_fefe
MRS KING SOLOMON 🤴 :
Yangu anapekuwa Mbaya zaid yake anaweka face 🆔 kila kona Sasa sjui nko wap selew🤭
2026-09-22 19:36:07
1
user4075979733900
Mrs :
Yaani hii inatokea baada ya mabadiliko ndani ndio hapo mwanamke anatafuta kutaka kujua kinacchomfanya abadilike ni nn ukishajua sasa hapo tumetofautiana maamuzi
2026-09-23 08:52:08
1
raysanga
rayla :
Kuna time kupekua kunasaidia we unasema tunajenga familia kumbe mwenzio hakuchukulii we Kama family Bali akuona Kama mfanyakaz wake tu uku mipango na malengo yakujenga family afanya na mtu mwingne ko imenisaidia kujua Nafas yangu kwake na ni mda wa mimi kuanza kujenga kesho yangu na wanangu iliyo bora na imara Namshukur Mungu Nina afya njema Allihamdulillah 🙏🙏
2026-09-23 15:05:35
2
user1012804323974
abdallah :
weng Wana dai wivu ni Hilo tyu
2026-09-22 19:27:18
0
pili.chuo8
Pili Chuo :
mi napekuwa nijuwe kama niko pekeyangu na kama tupo wengi namzalau tuu kwasababu nimeongeya sana atakuwacha kwasababu mume wangu ni muhuni sana
2026-10-10 08:16:02
0
omary894
omary894 :
mpaka mtu anashika simu ya mke au mume jua Kuna mabadiliko kayaona au kunavitu kasikia sasa ili apate uakika kitu cha kwaza kuwaza ni simu kwakua simu zina sili nyingi sn sasa kwenye maamuzi inategemea na ulicho kikuta unajua akuna kitu kinacho umiza kuishi na mtu unaejua anakusaliti maamuzi kwa mm yatatokana na uzito wa jambo nitakalo likuta umo
2026-10-02 10:46:02
0
user5191151307175
ali :
nikumuelewa waishi na mtu waina gan
2026-10-08 05:10:14
0
kelepiusi1723720378732
kele pius :
kiukwali mimi siwezi kukangua sim ya mke wangu
2026-10-10 04:43:48
0
jephter868
jephter :
unapopekua cm ya mwenza wako 1.kunavutu unataka kujua kuhusu mwenza wako. 2.ukishajua utakuwa ushapata namna ya kushi na huyo mwenza wako kulingana na ulichokipata kwenye hiyo cm. 🙏🙏🙏
2026-10-07 06:45:57
0
rukia.salim1
Rukia Salim :
ukishakipata munaishi kama ndungu kulea watoto nakulinda mali ya watoto zaidi yahapo hakuna
2026-10-05 19:57:33
0
user99371766137624
Ochu👽 :
nakubAL KAK NIMEKUW WAKWNZ NIP GIFT FATHER
2026-09-22 19:27:24
0
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About