hii imetokea leo mnamo majira ya saa tatu asubui katika barabara ya A.I
2026-09-23 09:18:58
14
😎msela🥦 iman🍀 :
tuliyo kimbilia comment tujuwane
2026-09-23 09:45:36
9
Dicksmsilili :
Game over
2026-09-23 09:00:09
0
Ado Boy🤑🤬 :
familia ao
2026-09-23 09:25:51
0
dj yasko :
polisi ana makosa2
2026-09-23 11:29:09
1
Sarah kingdom :
shida nikwamba mtoto ndo kamgonga baba 😂😂😂
2026-09-23 09:41:01
3
bundala Kamchape :
tuwaachiee waooo
2026-09-23 11:29:17
1
mjukuu wa mtemaruge :
hiyo leo hiyo[Clapping][Clapping][Clapping][Clapping][Clapping]
2026-09-23 08:44:56
0
Jouseph Wirlsoon :
police²😂😂😂
2026-09-23 08:57:31
0
Daniel Mazera :
hapo kisheria jeshi lenye mamlaka ya kufanya " arest" ukamataji ni police JW hana mamlaka ya kukamata mtu na hapo .wenye makosa ni hao JW maan inaonekana. hawa police walikua na msafala ila hawa wapo kwenye root ya kawaida walipaswa wasimame🫡🫡