@kusagatv: DUDU BAYA ALINDWE KWA GHARAMA ZOTE Catherine Kahabi amesema Dudu Baya anapaswa kulindwa kwa gharama zote kupitia maombi, akieleza kuwa anaamini Mungu atamlinda dhidi ya jambo lolote baya. Akizungumza, Kahabi amesema msimamo wa Duduzuri ni msimamo wa Watanzania wenye hofu ya Mungu, huku akiwataka Watanzania kuendelea kumwombea Dudu Baya. Akinukuu Zaburi 91:10–12, amesema anaamini ulinzi wa Mungu upo juu yake na kwamba malaika wa Mungu watamlinda katika njia zake zote. Kahabi amesema, kwa imani yake, anamfunika Dudu Baya kwa damu ya Yesu na kumuomba Mungu awe ulinzi wake wakati wote.
MWANDISHI WA WANANCHI
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 19:48:44 GMT
Music
Download
Comments
Tina Ally :
huy dada alindwe kwa gharama yyte
2026-09-23 07:26:02
45
RUFIJI+KIBITI +MAFIA+MKURANGA :
dudu baya sio mpumbavu akiongea kitu anakua na ushahidi kamili
2026-09-23 07:13:11
21
Bs_08 :
dada apewe uwaziri wa mambo ya ndan af dudu baya apewe PRIME MINISTER
2026-09-23 05:20:41
41
Winnie Shamalee :
you better watch your back😂😂😂
2026-09-22 20:06:26
22
ELIMOSI :
sio dudu baya tu sister hatawewe tutawalinda nyiee ote wasema ukweli 👍
2026-09-23 08:31:05
13
dadys daughter 73 :
tukìwa na msimamo haya mambo yataisha
2026-09-22 20:10:34
30
Joh :
well said 👏 👌 👍, stay safe dada
2026-09-23 05:43:30
1
deofashio121 :
dah we dada Una akili nyingi sana
2026-09-23 07:20:15
8
tatumsuya :
tulindie migongo yetuuuuu
2026-09-23 09:29:16
0
amos pete :
kwely kabixa
2026-09-22 21:18:32
12
DADA MKUBWA💞💞🇹🇿 :
nalo neno barikiwa dada ,,mungu mlinde Tumaini[Hands open]
2026-09-23 03:13:54
12
Shakt :
oh my gwadee
2026-09-23 06:29:58
0
Makena Makena :
safi Sanaa Dudu baya
2026-09-23 05:31:36
3
Naa jk :
Namuunga mkono
2026-09-23 07:11:09
1
William scorpion 🦂 :
tuondoke wote kwa pamoja 💪
2026-09-22 22:20:05
4
user232686612399 :
yaan hapo ndio tunawashangaa watumishi wa MUNGU wako kimya,yaan hii dunia ikifikiria vizuri utaona hovyo sana
2026-09-23 03:13:09
4
silaa :
ukosawa
2026-09-23 04:48:40
3
diamon :
og
2026-09-23 06:33:51
1
Shamssu :
dudu tuponaye kwenyehili wallah
2026-09-23 05:34:05
8
user3150013363900 :
tukopamoja dada yangu tusapot ilijambo Alina afya Kwa Tanzania dudu baya daima mbele nyuma mwiko
2026-09-23 06:04:53
3
mbarak h m s :
umetish sana dad
2026-09-23 06:25:07
1
Leonia mponda❤️ :
Dudu zuri😂😂😂😂😂
2026-09-23 04:36:51
1
Lizzy Eddy :
Kwakwel tupo pamoja 😁🤣
2026-09-23 07:43:32
1
Namieli❤️ :
Dudubaya Mungu akupe neema ya kusema ukweli bila kujali bila kuchokaa
2026-09-23 08:11:59
1
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.