kati ya hao wote sina hata moja ni wanafki Tu ndo walotuzunguka
2026-09-23 08:54:47
6
Arabella (Bella)💖💖💕💥 :
niko na hao 3 ila huyo wa hela kunishinda nd sina natafuta mwenye kunishinda pesa😂😂😂lakini Alhamdulillah hawa hawa wenye niko nao tunasaidiana hivyohivyo 😂😂
2026-09-24 09:55:38
0
sobilmoh :
huyo mbea ndio nko naye hahaha
2026-09-23 09:33:04
4
Daa zay. :
Kweli kabisa
2026-09-23 04:53:06
2
💜kadzija :
Hawa wangu wasengenyaji😂😂😂hawana rorosi
2026-09-23 11:45:03
1
🕊Ummy🕊 :
no 2,3,4 nnao😂😂
2026-09-23 09:45:57
2
hidaya001 :
hapo dada hakuna ulicho kosea kabisa🙏🙏
2026-09-24 14:09:16
0
clara mesh :
huyo Wa pesa Mungu npe
2026-09-23 10:19:24
1
MAMAG COLLECTION :
shida nikuwapata hao
2026-09-23 08:45:15
1
Hadija MOHAMMED :
eeeeeeh 🤣
2026-09-22 23:57:33
1
Ummu Mwinyikai :
no 2 na no 4 nko nao
2026-09-23 18:20:17
0
Victor Kidume :
naomba hyo rafki namba 1...plzzz
2026-09-24 09:00:13
0
𓆩♡𓆪 𝑹𝒂𝒉𝒔𝒉𝒊𝒊 ♡? 🦋✨ :
toka wamipokonye mtu wangu siitaji rafiki🥺
2026-09-23 09:39:52
1
Ruby vijora👗👜👠 :
Ehe
2026-09-24 13:11:47
0
Faiza Salim :
kweli kabisa
2026-09-23 04:47:26
0
Pataa :
ok sawa ntajaribu
2026-09-23 12:19:15
0
sinda :
tatizo ukipata neema tu na wakajua....weeeee
2026-09-23 18:15:51
0
moyowasubira :
hao wa hela na Ibada niko nao Alhamdulilllah. Mungu awalinde marafiki zangu.
umbea sitaki hata kusikia. .
2026-09-24 14:23:15
0
khaurah11 :
daah Sema ehee😂
2026-09-23 18:12:51
0
Fatuma Mwijaa Faki. :
sema enhe
2026-09-23 17:51:10
0
I AM MORE🙏 :
heee
2026-09-23 12:58:33
0
Binti Araji :
kweli kabisa
2026-09-23 04:57:07
0
To see more videos from user @swahilipotfm91.7, please go to the Tikwm
homepage.