@millardayo_: Rapa na Mfanyabiashara kutoka Marekani, Rick Ross, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia, huku akisema muziki, vipaji na nguvu inayotoka Nchini vinastahili kupewa nafasi kubwa zaidi Kimataifa. Kupitia mtandao wake wa Instagram, Rick Ross amesema Tanzania imekuwa akilini mwake kutokana na ukuaji wa muziki na vipaji vilivyopo nchini, akieleza kuwa yuko tayari kuja Tanzania, kutumia muda na Watanzania na kujionea mwenyewe vivutio mbalimbali, ikiwemo Serengeti na Zanzibar. “Heshima kubwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiweka Tanzania kwenye jukwaa la dunia,” amesema Rick Ross. Staa huyo pia amesema ana mipango mikubwa inayohusisha kufanya kazi na baadhi ya Wasanii wakubwa wa Tanzania pamoja na kuwafikia Wasanii wa kizazi kipya wanaochipukia, akisema kuna vipaji vikubwa ambavyo anataka dunia ivione. Rick Ross amesema yuko tayari kuja Tanzania, kuungana na Watu na kujifunza zaidi kuhusu utamaduni na mazingira ya Nchi, huku akisisitiza kuwa mipango hiyo ni mwanzo wa mambo makubwa anayotarajia kuyafanya nchini. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 20:57:05 GMT
Music
Download
Comments
gboy eden10 :
Huy sio Rick Ross ni Zayoo namjua vzr sana😂
2026-09-23 01:22:38
60
Hervin jr :
Wangapi wapo upande wa shangingi 😂😂 supermarket
2026-09-22 21:29:13
116
Elswags@tonny :
Rick Ross coming to Tanzania I am waiting
2026-09-22 21:06:44
0
Vibe ~Scott~ ⏳️🌵 :
pongezi kwa zayooo
2026-09-23 07:53:14
18
Six4gdetox :
brother Paul makande[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 07:03:59
4
war :
mtusaidie kulipa madeni basi jamani maneno meng yanini
2026-09-22 22:56:43
20
The real peterbasili🤑💰 :
atakuwa kalipwa sh.ngap
2026-09-23 04:33:05
12
monkey :
Heaven I'll be with AFRICA 🌍🌍 GOD IS WITH US
2026-09-22 21:30:28
1
Introvert🚶 :
SAY MA NAME
2026-09-22 21:30:35
8
Majoteng :
Wanangu namba zikapungue 😡
2026-09-22 21:29:12
16
ITS, PAC ,SAVEGE,🌀🪴😂😂 :
WELCOME BIG BOSS 🔥 WELCOME TANZANIA 🇹🇿❤️
2026-09-22 23:38:14
2
Ngulluka boy tz🧢brandy :
ZAYOO UYOO JAMANI SIO SIRI
2026-09-23 09:32:34
3
𝙑𝘼𝙉 𝙂𝘼𝘿𝙐 :
siyo bure kalipwa uyu
2026-09-23 08:56:26
5
Blac_ice🍦 :
Propaganda nyingi saivi yote tuache kufuatilia serikali
2026-09-22 22:11:43
7
steve :
say my name babe
2026-09-22 21:39:10
1
Manywere No 1 :
kalipwa dola ngap uo
2026-09-23 05:02:44
3
juma white :
deni linazidi kupaa
2026-09-23 04:40:13
4
Massawe Tours :
Najua wamekulipa vizuri, Karibu Tanzania Big 😁😁
2026-09-23 09:19:00
1
fia bebe🍒🍒 :
nakusubiri mpenz wangu😂🥰
2026-09-23 05:39:19
1
im Genna :
Sinema zetu🫴
2026-09-22 21:12:40
0
Issan ⚠️ :
Aaah siasa kwenye mzik zann
2026-09-22 22:01:21
1
monkey :
darkness is end in this heaven of God
2026-09-22 21:29:29
1
nasibu montanah :
oyeah Mr Paul Makande we gat you we happy in our country respect sana hii ni hatua njema sana 🫶🫡
2026-09-22 21:36:14
1
MAFIOSO :
Sahihi🙏🏻
2026-09-22 21:02:32
1
@burma kid :
sijaelewaaa
2026-09-22 21:30:52
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.