@ijang' :
@@ijang':Nilitoka na Babati hadi bariadi 😂, niliitwa na jamaangu niliye soma na ndo ilikuwa tumemaluza tu chuo home sina hata mwezi 😀, nyumbaniniliambiwa unabahati sana wenzako wanakaaga miaka wewe 2 weeks ushapata kazi 😀, uzuri nilipewa hela yakutosha kuanza maisha kufika nakuta jamaangu analala kwenye vigoro viulimi afu chini wapo 3, 😀 nilichoka kesho yakwe kwenda ofisini sasa jamaa akaniambia niwe na passport kwaajili ya usajili na kupata kitambulisho cha kazi 😁na kazi aliniambia ni Sales ila mimi ntataa kwa ofisi kwaajili ya kugawa order kwa watu wanao enda sokoni😂😂, bwana weee kufika ofisin aloo niwatu wengi zaidi ya 400+ nikawa nawaza nikajua ni interview,jamaa ananitia moyo mimi najyana na boss nisha ongea nae wewe lazima upite hata usijali, tulivyoingia sasa , vile wajanja wakanipiga 20k ya kitambulisho na 10k yakujiunga 🤣, sasa wakati wanachukua taatifa zangu nashanga huyo boss (upline🤣🤣🤣)wao ananiita kwa jina langu ananikaribisha vizur sana eti unajuana na flani ndiyo akasema usiogop kazi unapata yule ni kijana wangu muaminifu sanaa, kumbe walipangana 🤣🤣🤣 sasa kwenye mafunzo ya kazi kwanza dude ni ALLIANCE IN GLOBAL MOTION😂, nilisha iskiaga ila walinipiga shule karibu nijae maana nilikuwa nmaswali mengi sanaa 😁, wakataka nitoe 600k kufungua acc😁 (baada ya siku 3 hiyo😂) wakalazimisha waongee na dingi atume hela , wakampigia hapo mimi wamenizindika nisha jaa ila namashaka sanaa bado nikawa sipo tiari😁 nikasem hii hela mzee akituma nafungua zangu hata ki M-pesa🤣 siwapi hata 100 , Baada ya dingi kuongea nao, akapiga simu akanicheka akaniambia na ujanja wako wote unaenda kutapeliwa bariadi kwelii na usomi wako nilichek 🤣🤣🤣🤣, akaniambia hiyo 600k situm we fanya kama ulienda kutalii hela ikiisha rudi🤣. ila Mungu mkubwa sikurudi ndo ilinifanya nikapata kazi halali mwanza ndo life lilianza hadi leo. hapo mimi nilikuwa na 800k hiyo ndo ya kupanga, godor na kujikimu, ila mda wote wa siku 3 nakaa kwake yani ilikuwa hawana hela mimi nilikuwa nakul vizur wao ugali dagaa nikawa namchukua namlipia 😁😁baday jiran nikapata chumba 25k nikalipa 75 miez 3 kule nilikaa kama weki 3, baada ya hapo ndo nilipata kazi hali nikaondok🤣🤣🤣🤣, ASANTE KW K
2026-09-24 05:53:22