@conny_fx: Ukifika chuo kikuu, tayari uko kwenye hatua ya kuelekea utu uzima na kujitegemea. Vijana wanaojiongeza kwa kufanya biashara, kuweka akiba, au kufanya kazi ndogo ndogo wakiwa masomoni wanajiandalia msingi imara wa maisha yao ya baadaye badala ya kuendelea kutegemea wazazi pekee. ​Acha kujihesabu umekomaa kwenye mambo mengine huku ukikwepa majukumu ya kifedha. Tumia fursa na muda uliopo chuo kuanza kujitegemea mapema ili ukimaliza masomo usiwe miongoni mwa wanaorudi nyumbani kulelewa! 👇✨ #swahilitiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #fypシ゚viral #canada_life🇨🇦 #usa🇺🇸

CONNY FX
CONNY FX
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 21:23:03 GMT
2323
101
8
6

Music

Download

Comments

yonaraphael959
Yona Raphael :
exactly 💯💯💯
2026-09-25 17:20:50
0
mbashiruyahya
[email protected] :
unyamwez
2026-09-24 15:46:55
2
ajeymoses
Jiang moses@123 :
fact
2026-09-23 15:59:17
2
aidanuslukiza
lukiza logistics 🤝 :
fact
2026-09-25 14:05:25
1
To see more videos from user @conny_fx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About