Ndio mimi nilimuona live kabisa mwaka 1999 neema gospel walikuja kuimba mabatini Mwanza.Alikuwa mweusi nzuri kama mnegro vile[ black american].Hawa wanaotamba na wimbo wa [ nikurejeshee] ndio ilikuwa kwaya yao aliyokuwa akiimbia.
2026-09-23 09:45:26
67
DARASA RAHISI :
Ameimba sana AIC Shinyanga pale Kambarage 😁
2026-09-22 21:41:36
17
Baraka Gabriel :
acha upotoshaji nimerudia zaidi ya mara tatu sijamuona kanumba
2026-09-23 15:16:40
5
Kelly nelson 💋❤️ :
😂🤣🤣 nilivyo kua bize kuangalia kwamakini
2026-09-23 09:53:14
6
se komba :
😂watu mna macho khaaaa🤣🤣😂
2026-09-23 10:43:15
7
Moshi Machunte :
Ee mungu mpunguzie adhabu ya kaburi🙏🙏
2026-09-23 14:40:20
5
Maggie_💞 :
mungu mpe pumziko la amani😭😭
2026-09-23 12:20:30
14
N :
afu wakawa wanamuonesha kwa machale bila kujua huyu ndo alkuja kuwa star wetu
2026-09-23 10:48:04
10
26pesa is my life. :
ndo uyo
2026-09-24 10:55:56
9
Pamphil Qursi :
kipindi hicho ilikuwa inaitwa A.I.C.T changombe
2026-09-23 14:45:31
9
sylvester :
Inaitwa kwaya ya buzuruga mwanza,duh umenikumbusha mbali sana hii nyimbo mwaka 2005 nikiwa mahali ndo inatoka hii nyimbo
2026-09-23 14:10:03
5
Happyness Michael :
Ndo unajua leo mwanetu
2026-09-23 14:25:27
8
Rebecca Beatusi :
daah na alikuwa anachezea vizuri kweli jamani 😥
2026-09-23 10:10:14
8
sespv_bite :
mbona mi sjamuona
2026-09-23 19:43:03
6
Dolphin🐬 :
eee tulikuwa tunaimba naee kway yetu alikuwa mwalimu wa staili
2026-09-23 18:48:22
7
Joshua Lobison :
hukujua ww tuu
2026-09-29 03:48:03
1
T💘 :
Alikuwa muimbaji mzur sn wa Neema gospel ya AICT changi'ombe tulikuwa tunazo CD zao enz hizo
2026-09-25 04:28:04
1
erickjonasinansim :
hakuwahi kuimba humu kanumba aliimba aic chang'ombe na nyimbo alizokuwa akiimba hazipo youtube
2026-09-28 18:16:20
0
Emelda patrick :
kaonekana kidogo
2026-09-23 19:21:33
4
26pesa is my life. :
ambao tume muona kanumba tujuwane
2026-09-24 10:55:01
2
The super king 🤴 girl🥰 :
yukowapi ss mbn a misjamuona
2026-09-23 09:42:43
1
Kwandu Suday :
mhu ila watanzania
2026-09-23 15:51:16
1
pedeshe momo :
huu wembo unaituwaje jamani
2026-09-25 13:57:49
0
jennymo :
alikuwa anaimba AIC chang'ombe tena na gitaa alikuwa anapiga
2026-09-28 17:46:38
1
To see more videos from user @barikijigita895gmail.com, please go to the Tikwm
homepage.