@k2ga_music: Niambie unakumbuka nini ukisikia huu wimbo ❤️😂 #tiktokkenya🇰🇪 #zanzibar🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿

k2ga_news
k2ga_news
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 22:14:18 GMT
52985
4952
95
111

Music

Download

Comments

danielthoya4gmail.com0
𝓓𝓪𝓷 𝓽𝓱𝓸𝔂𝓪 :
back in 2018 if am not wrong
2026-09-23 12:11:20
0
golder2841
golder :
msanii pekee ambae akivaa short anapendeza[Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-23 17:16:37
0
user9082702209850
mimoy :
no one like you k2ga
2026-09-23 08:54:40
0
user26095016016751
rosebella :
congratulations broo
2026-09-23 07:25:44
0
amtaph_1965
Amtaph_1965 :
My fav song❤️
2026-09-23 13:40:22
0
jay.disciple
JAY DISCIPLE :
Alikiba 4 real
2026-09-23 16:52:56
0
charmymillioner
CHarmY :
Nakumbukaga enzi na soma nilikuwa nasema nitaolewa na huyu kaka nyie 😂😂😂
2026-09-23 08:18:54
11
aliabdi925gmail.c
[email protected] :
jina la nyimbo
2026-09-23 09:33:52
1
yusufu.maulidy3
Yusufu Maulidy :
Lisa ile original ndio kali sanaa
2026-09-23 09:09:41
1
rahmeer.official
Rahmeer Official :
nyimbo yangu pendwa nakumbuka nilikuwa kwenye penzi zito huyo mwanaume alikuwa anapend kuniimbia hiyo nyimbo nam ndo niliipenda kupitia yeye yan daaaah
2026-09-23 04:53:09
2
babaluqs
Ibrahim class :
mchizi wa uk🥰🥰🥰
2026-09-23 04:35:45
1
kingkasomega0
MFALME OMEGA🇨🇩 :
Nilipataga binti mmoja apa Congo nika mdanganya hii nyimbo ni yangu [Ricanement][Yeux larmoyants][Innocent] 🇨🇩 mon pays
2026-09-23 07:46:08
3
hasanharis1
hasanharis255 :
k2ga lete vitu bila kupoa.....
2026-09-23 03:24:40
2
missannely_xoo
miss_annely✨ :
mi nae naonaagaa k2gaa ni fundiiii akiii team 2ga gather here😊😊@
2026-09-24 09:28:35
1
aboubakari.mzuri
Aboubakari Mzuri :
Nikisikia Huu Wimbo Namkumbuka Ally Lunah Nae Aliimba Huu Wimbo
2026-09-23 16:53:46
0
am20334
aM♌️ :
Huna mpinzani Kaka 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-09-23 06:28:33
2
alkamaboi8
alkamaboi :
vizur sana kaka
2026-09-23 07:28:59
1
jay.disciple
JAY DISCIPLE :
ngoma kali ni mno....sasa mbona ni kama Alikiba
2026-09-23 16:54:44
0
shakira.a..banobi
Shakira A. Banobi :
Nakukubal kaka❤️❤️❤️
2026-09-23 06:54:52
1
qouneezawadi
qounee@zawadi😍 :
nisiong'ope jaman nilikuwa naipenda sana hii nyimbo mpaka nikiwa naimba mbele ya mama anabakikuniambie unapenda nyimbo za k2ga sana🥰🥰
2026-09-23 08:57:16
1
manenomethod
Method :
nilijua kiba niposkia mwanzon
2026-09-24 16:52:21
0
rashidy..agustino
Rashidy. agustino :
ngoja nidownlod jamani kali sana
2026-09-24 20:48:31
0
rashidy..agustino
Rashidy. agustino :
nilikua dar nafanyakazi ya duka nipo na kiswaswadu kina memorykadi inahio nyimbo nilikua naisikiliza namkumbuka dem wangu kijijini
2026-09-24 20:46:49
0
mhoja01
kipala official :
apo ulikuaga k2ga tulie kua 2na kutazamia makubwa sana
2026-09-24 21:44:42
0
yusuphabdulazizki
Smart Boy Tz :
nice☺️
2026-09-24 21:44:28
0
To see more videos from user @k2ga_music, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About