@balamatz: Kuna ile namna unakubaliana nae fresh tu kwamba keshokutwa utaibukia mazingirani, anakubali ila kwanza huwaga wanakubali kwa kusita kama mara ya tatu hivi ndio anafungua nafsi ukiachana na ile ya kwanza kwamba lakini nahisi kama nitakuwa sijamaliza round about yangu, na ya pili aliyosema kuwa nikiweza nitakuja nisipoweza kuja basi, baada ya kumwambia we sema kwa uhakika ili nijue ninafanyaje, ohoo nakwambia tabia za wanaume ni kuwa huwa wanakuwa care, kama malaika hivi yaani zile siku mbili moja kabla ya mchezo wana huwa wanajali kama customer care wa niffer cosmetics vile, sasa kisanga ni hao mademu sasa, yaani mpaka ile siku ya mwisho anakuwa kwanza mvivu mvivu, aisee ikifika siku yenyewe hakutafuti ng;oo hata umtafute anakwambia nilikuwa busy unampigisha story angalau uone kama anakumbushia mchezo awee, yaani hagusi, sasa ukimkumbusha kidogo linajifanya kama ndio taarifa mpya aisee, hapo ukimkumbusha kumbusha kujiandaa aibuke, ataanza kusema sawea sawa, mpaka masaa matatu mbele ya m
MEGA MEDIATZ🇹🇿
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 00:16:34 GMT
Music
Download
Comments
MEGA MEDIATZ🇹🇿 :
mpaka masaa matatu mbele ya muda yuko kimya hapo sasa zile DAAH KWAHIYO UNAKUJA AU HAUJI, ndio zinaanza utasikia kuna muda tu hapatikani, hapokei usikuu ndio anakucheki anakwambia nilipitiwa na usingizi babe, hapo sasa ndio maana tunawakiaga white scim ili tufidie maumivu ya wallet na moyo, all in all hizo zote mimi Admin nimesimuliwa tu am pastor machoka from vingunguti😂😂
2026-09-23 00:19:13
1
midahsimba🦁 :
shida sio kauli nguvu unazo
2026-09-23 05:25:46
0
To see more videos from user @balamatz, please go to the Tikwm
homepage.