niliwahi kumuacha mchepuko kwa kosa la kujilinganisha na mke wangu 😁
2026-09-23 13:01:29
151
Patrick Eduardo :
Ukitaka kujua rangi yangu mguse Mkewangu Dr Lucy 😂
2026-09-23 08:12:34
244
neymsuya :
me and my bestiee
2026-09-23 15:17:12
0
Itsonlycoco :
The level of audacity 😂😂🤭🔥🔥🔥🔥..umenikoshaa😂😂❤️
2026-09-23 17:35:06
0
Nyota ya kheri🌟 :
Moja ya kitu kinacho waumiza na kuwachukiza sana wanawake, ni kuona mwanaume anamsifu mwanamke mwenzao😁😁
2026-09-23 07:49:05
281
simmy :
ndo maana nipo single watu mna watu wenu
2026-09-23 10:44:44
57
Olly_henry🦋 :
Leo michepuko sijui wana comment wapi
2026-09-23 15:06:05
14
🧿🌸husna 🍎 :
Ukiona mwanaume kaanza haya maneno ujue tayar wa nnje kashamwambia anataka kuolewa waachane[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 07:55:47
78
BEAT BANK🎹🎺🥁🎧🎤 :
Acha yote ila hiyo brass band is fire 🔥
2026-09-23 13:52:01
3
💕Mimi Lenah🌹💕 :
Wale ananipenda Mimi kuliko mkewe Leo siwaoni
2026-09-23 16:28:00
23
MR NO FACE :
Kumbee tupo wengi na hilo ndio linanifanya sitakii kuchepuka 👍👍
2026-09-23 07:19:11
84
A.p.m :
Anna🥰 punguza kuniloga😂
kumbuka nina mke Mimi😁
2026-09-23 11:48:01
43
Liana Lashes :
wwy btw
2026-09-23 14:26:21
0
Joel :
my wife right now ❤️
2026-09-23 14:33:15
8
Dee🥰💘love📞♥️ :
nimeona wanaume wengi comment zao wanaakili na kuheshimu wake zao mungu awalinde na familia zenu muwapende siku zote za maisha yenu amen🙏🙏🙏🙏♥️
2026-09-23 15:35:26
13
Ummy mzuri :
Aya wanawake wenzang masingle sugu kuna group uku njoen tupeane moyo
2026-09-23 06:56:29
44
JEFF298 :
Mimi na band 🔥🔥🔥🔥umu tuu
2026-09-23 07:25:27
20
Peter :
mm ntajihidi t kuchagua mama bola kwajili ya watoto wangu nitakao zaa nikiendekeza tamaa zangu watoto wangu watapata shida kama akipatikana mlembo na mama bola nashukulu sana🙏
2026-09-23 16:16:26
7
Jackson Yuga⭐ :
Hapo ndo utajua kwa nn situmii kilevi cha aina yoyote,cjui kubeti, sina team simba wala yanga, zaidi mke wangu✊🏾
2026-09-23 08:35:54
29
Dax 20 :
😂😂 Oya sijui nimtagi kabisa mke wangu aah
2026-09-23 14:47:24
9
Reghan :
alivyo na roho nzur kama wangu haki heri uniguse mm so yeye🥰🥰🥰
2026-09-23 06:36:49
26
dadaelya🍂 :
nimekumbukwa 😂😂😂😂
2026-09-23 07:54:00
15
Jaqline🫂❤️ :
Ausio wanetu mmeamua kutupa jiwe gizan 😂😂😂
2026-09-23 07:52:42
5
Bint kinyunyu🌹❤️ :
Ni mdhuli pia anajiheshim kuliko wanao kutak 😂😂😂
2026-09-23 04:34:11
5
To see more videos from user @lacasdepapy, please go to the Tikwm
homepage.