stamani kuzungumza na mtu wala kukaa karibu na mtu ni hatua ambayo nimeifikia kwa sasa🥲
2026-09-23 15:07:33
1
Martha Lucas :
Usiponipigia? [Teary eyed]
2026-09-23 15:47:57
1
Tinnah♉ :
i just need a hug🥹
2026-09-23 18:55:57
4
Mr finance :
hapana fanya hivi una ka group then tuwe uko kwa kushauriana na kutiana moyo but watu wasiwe wengi na wale vijana wanao jielewa tu ili tushare kwapamoja kila mtu alicho nacho kwa maan ya elimu na n.k je mmeonaje iyo
2026-09-23 16:43:13
23
suzzie kidoti :
Nimefika ile hatua ambayo hata sihitaji kuzungumza na mtu waka kukaa karibu na mtu yaan sihitaj kelele yoyote Mungu nisaidie🥲maana hata nikiongea hawa watu hawawezi kunielewa
2026-09-23 14:29:25
38
angel ben :
asante
2026-09-23 19:42:16
0
lady brizzy 🌹🌹 :
nahitaj tu kupata hug nilieeeee weee Kwa kifua mpk nilale hapo nitakuwa sawa
2026-09-23 19:42:11
1
Dee🌸🦋🥀 :
Naomb Mungu na mm nipate rafiki angu🙏
2026-09-23 16:39:51
4
loveness_❤️ :
Hata nikiongea na ww Nahisi hutanielewa 🥲🥹😭
2026-09-23 17:24:22
3
SHOP WITH MAIYYAH 🛍️❤️🔥 :
Miee naee hata kuongeaa nimechokaa naliaa na Mwenyezmunguh tuh basii😩🙌🏾🙌🏾
2026-09-23 17:32:17
5
shufaahamisi795 :
natamani lkn hayaelezeki kaka angu
2026-09-23 16:43:10
2
Breenah :
sawa njoo tuongee
2026-09-23 15:39:12
4
flora cute :
adi nimelia asee🥺🥺🥺
2026-09-23 19:09:30
0
fave🦋🍁 :
nahis had ku loose hope kbc an duuh ilaa mungu ni mwem kil wakat
2026-09-23 18:16:38
0
Icah doll :
Nipigie nyingi kisa mmeona gari eeh😂😂😂
2026-09-23 13:21:31
2
comfort 🦩🌺 :
mm hapa kaka aziz
2026-09-23 16:10:52
1
Mariam Issa :
😒🙄🙄naituma inbox hakikisha unanipigiaa
2026-09-23 05:59:59
2
no name :
nipo hatua ambayo hakuna wa kunielewa walakunisikiliza achilia mbali kunisaidia
2026-09-23 19:04:01
1
debra :
nataman nipate mtu nmkumbatie nilie tu yy asiiseme kitu Wala asinishaur anibembeleze tu yaan,,nmechoka
2026-09-23 17:39:48
0
mama rose 🌹 mary❤️ :
nimekutumia dm
2026-09-23 16:07:24
1
jannet ibrahim :
me natakaa t nikae peke angu
2026-09-23 15:10:25
3
feisal abubakary :
pleas nakuomb nipigie
2026-09-23 11:48:09
1
ray♍ :
sitamani kuongea na simu nataman nkae sehem peke ang kila siku niwe nimejifungia bila ya kelele Wala mtu yoyte Nina mengi moyoni hakuna wa kunielewa 🥺🥺
2026-09-23 17:15:03
4
░S░E░I░N░ 🇹🇿 :
Allah atustiri na atupe kila mtihani tunaoweza kuhimili... atujaalie subra ndani ya mioyo yetu... Ni mengi sana tunabeba kwenye nafsi zetu kushinda uzito wa miili yetu. Yarab tujaalie utulivu wa nafsi na mioyo yetu, utufanyie sahar mitihan yetu. Allahumma ameen
2026-09-23 18:05:16
1
saraphina :
una uwakika utanipigia🥺
2026-09-23 17:25:56
1
To see more videos from user @azizinyagawa, please go to the Tikwm
homepage.